Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Naam, mimi ni Nabii wa uwongo, vipi unasemaje wee Nabii wa Ukweli? Katiba yako inasemaje?WE NABII WA UONGO HAUNIPOTEZEI MUDA,CIPI UMESHAACHA KUITABIRIA MABAYA TANZANIA AU NDO mungu WAKO AMELALA UNAMWAMSHA??
Huyo babu hana katiba usipelekwe kama upepo,afu ile rasimu sasa hv watu wanaifungia maandazi mtaani wtz hawaijui unaijua wewe na familia yako.View attachment 244577
Dragunov Sniper said:Join Date : 9th March 2015
Posts : 2,797
Rep Power : 0
Likes Received: 0
Likes Given: 0
Acha uwongo wako wewe kijana, Warioba aliandika mapendekezo na sio Katiba, walioandika katiba ni BMK na lilikuwa sahihi kufanya vile. Una waambia wenzio vibaraka wewe mwenyewe umetumwa na Ukawa ufanye ubaraka wa kupiga debe.Kwa mwenye akili timamu na uzalendo hawezi kuacha kuzungumzia ile rasimu ya pili ambayo ndiyo ilibeba maoni ya wananchi waliowengi.
Siwezi kuunga mkono kwa hii pendekezwa kwa kuendeshwa na wachache ambao waliuteka mchakato mzima kwa maslahi yao wenyewe. Kama utajaribu kufungua akili utagundua jambo fulani ambalo utaamini kuwa kwanini siachi kuzungumzia rasimu ya Warioba.....
Swali kwako: kwanini serikali inapigia debe wakiwemo na vibaraka kama wewe kupiga kura ya ndiyo badala ya kuacha wananchi wenyewe waikubali kama ndiyo au hapana kuna kitu gani hapa?
Acha uwongo wako wewe kijana, Warioba aliandika mapendekezo na sio Katiba, walioandika katiba ni BMK na lilikuwa sahihi kufanya vile. Una waambia wenzio vibaraka wewe mwenyewe umetumwa na Ukawa ufanye ubaraka wa kupiga debe.
Wewe ni upepo, maana hiyo rasimu yako unayoizungumzia hapa huko mtaani wanaifungia maandazi, haina mashiko sahv tena wee sema lkn hiyo haitarudi tena itabaki historia, kasome katiba uone uzuri kati ya hayo mapendekezo na katiba yenyewe.Wewe ndo zuzu kabisa....wapi nmeandika kuwa ile ya warioba ilikuwa katiba au kusema ni rasimu ya pili ya katiba ndio namaanisha katiba?
Huna hoja na nadhani umekosa cha kuandika bora uwe kimya tu maana uzoba wako usikufanye ufikiri kuwa wote tunalingana kiakili.
Narudia rasimu ya pili ya katiba ndio ilibeba maoni ya wananchi waliowengi.
Kwanini mtoa post umeongelea upande mmoja wa wanaopinga badala ya kuwa neutral?
Nilidhani utasema ni maamuzi ya wananchi kukubali ama kukataa lakini inaonekana nawe unawaamuru watu kuiunga mkono tu hata kama hawakubaliani na kilichopo.
RAPTOR 22 na wenzako mmekuwa wapiga wazuri sana wakushawishi watu waiunge mkono hii katiba pendekezwa.
Tutapinga kama haiko sawa na tutaiunga mkono kama itatufaa na si kupitia malalamiko yako yasio na faida yeyote.
Aibu yako lijibaba wala hayo makatuni yako hayataizuia katiba hii kupita, nachojua hapo ni umetumwa na UKAWWA kufanya ujinga huo, wewe bula kufanya hivo unaonekana huwezi kupata mlo wako wa siku, pole sana kwa kugeuzwa kuwa kanyagio ama ufagio tena ule wa chooni, hahahahaha kijana umekosa uzalendo na kugeuzwa kuwa mtumwa kwa wanasiasa ucharo. Pole sana njaa itakuua kijana shauri yako. Na ikipita endelea kuweka huo upuuzi wako afu tuone kama hujabadioi jina lako fasta.
Wewe ni upepo, maana hiyo rasimu yako unayoizungumzia hapa huko mtaani wanaifungia maandazi, haina mashiko sahv tena wee sema lkn hiyo haitarudi tena itabaki historia, kasome katiba uone uzuri kati ya hayo mapendekezo na katiba yenyewe.
HIYO KITABU YA MAKENGEZA & Co. sisi huku tumejaribu kuitumia msalani haifai kabsaa afadhali ya toilet paperWewe ni upepo, maana hiyo rasimu yako unayoizungumzia hapa huko mtaani wanaifungia maandazi, haina mashiko sahv tena wee sema lkn hiyo haitarudi tena itabaki historia, kasome katiba uone uzuri kati ya hayo mapendekezo na katiba yenyewe.
imefungiwa maandazi maana haina maana tena imeshapitwa na wakati, sasa tulonayo ni katiba inayopendekezwa, weka pembeni hizo takataka zako, maoni yote ya wananchi yamo kwenye hii katiba.Hahahahaha sio nacheka kwa kufurahia ulichoandika ila nasikitika kwa udogo wa uelewa wako.
Suala la rasimu ya pili kufungiwa maandazi wala hakuondoi maana kwamba haikubeba maoni mazuri ya wananchi waliowengi kwani hata hii pendekezwa kitu usichokijua tayari ishafika jalalani na hilo ni kwasababu ya watanzania kutopkuwa na moyo wa kupenda kusoma na wala sio suala kwamba hawaikubali ile rasimu.
Naamini kama rasimu ya pili ingepitishwa kama ilivyo (au kufanyia marekebisho machache) kuwa katiba pendekezwa wala serikali yako isingetumia mabilioni ya shilingi kuandaa kofia ili kushawishi watu waikubali.
Bado nitaendelea kuipinga na wewe utakosa posho maana umeshindwa kuifanya kazi yako.
Jifurahishe ewe mchumia tumbo maana bila kupinga humu ndani wewe huwezi kwenda haja, ndo maana umeajiriwa kwa muda na Ukawa.HIYO KITABU YA MAKENGEZA & Co. sisi huku tumejaribu kuitumia msalani haifai kabsaa afadhali ya toilet paper
imefungiwa maandazi maana haina maana tena imeshapitwa na wakati, sasa tulonayo ni katiba inayopendekezwa, weka pembeni hizo takataka zako, maoni yote ya wananchi yamo kwenye hii katiba.
Wewe tukana tu lakn ujue hiyo Rasimu ya babu yako Warioba haina lake kwa wakti huu, imeshafungiwa maandazi na vitumbua tena wanafunzimwa shile za msingi wamejaradia madaftari yao. Katiba inayopendekezwa ndo mpango mzima kwa sasa. Nyie mnaoinanga na hata kama mmetoa rushwa humu Jamii forums hiyo haitaifanya katiba hii kupita.Hii huruma sana kuminywa kwa demokrasia kunawafanya wengi wawe na utaahira wasiokuwa nao
HIYO KITABU YA MAKENGEZA & Co. sisi huku tumejaribu kuitumia msalani haifai kabsaa afadhali ya toilet paper
Kwa mwenye akili timamu na uzalendo hawezi kuacha kuzungumzia ile rasimu ya pili ambayo ndiyo ilibeba maoni ya wananchi waliowengi.
Siwezi kuunga mkono kwa hii pendekezwa kwa kuendeshwa na wachache ambao waliuteka mchakato mzima kwa maslahi yao wenyewe. Kama utajaribu kufungua akili utagundua jambo fulani ambalo utaamini kuwa kwanini siachi kuzungumzia rasimu ya Warioba.....
Swali kwako: kwanini serikali inapigia debe wakiwemo na vibaraka kama wewe kupiga kura ya ndiyo badala ya kuacha wananchi wenyewe waikubali kama ndiyo au hapana kuna kitu gani hapa?
Ukawa walitoka nje ya bunge na waliobaki walitoka nje ya mada. Very logical!