kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

Una njia ya kuchekesha sana kukubali kuwa umemaliza hoja.
Iwapo huna hoja sawa kapumzike tu ungojee upewe ----- mwengine uulete hapa.
 
Una njia ya kuchekesha sana kukubali kuwa umemaliza hoja.
Iwapo huna hoja sawa kapumzike tu ungojee upewe ----- mwengine uulete hapa.

ongeza idadi ya watu watakaoipigia kura ya ndiyo katiba mpya,usijaribu kupoteza kura yako.
 
Iwapo atatokea mtu na kunishauri kuhusu hilo nitamuelewesha kwanini apige HAPANA na uamuzi utakuwa wake mwenyewe.
 
Iwapo atatokea mtu na kunishauri kuhusu hilo nitamuelewesha kwanini apige HAPANA na uamuzi utakuwa wake mwenyewe.

Kkura itapigwa ya NDIYO nakushangaa wewe kupoteza muda wako bure wakati katiba inapita hiyo tena mchana kweupee,watanzania kibao wataunga mkono.
 
Wagonjwa wa AKILI wapo wengi
 
Sasa hili jambo la kuweka HAPANA kwenye kupiga kura kuna maana gani?
Ilikuwa hakuna haja ya kupiga kura wala kufanya kampeni iwapo mna hakika kuwa watu wote wanaikubali.
 
Wewe sio Daktari usivamie fani yetu kuthibitisha ugonjwa wa mtu hapa,dont use abusive language komaa na hoja ya msingi kukuza heshima ya JF
Sijamwambia mtu mgonjwa wa akili narudia WAGONJWA WA AKILI WAPO WENGI KWELI
 
Kkura itapigwa ya NDIYO nakushangaa wewe kupoteza muda wako bure wakati katiba inapita hiyo tena mchana kweupee,watanzania kibao wataunga mkono.

Wa kushangaza ni wewe hapa, iwapo inapita sawa, sasa kutaka sie tulio na msimamo tofauti na wako tuwe sawa na wewe inasaidia nini kwako au kwetu?
 
Sijamwambia mtu mgonjwa wa akili narudia WAGONJWA WA AKILI WAPO WENGI KWELI

Usijifanye kukwepa hoja ya msingi ya mdau aliyekuuliza swali wewe ni dokta?na iweje kwenye JF kuwe na wagonjwa hasa baada ya kile unachokitaka wewe kupingwa?? U might be one of those!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…