kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

Kwanza mimi si kijana kama unavyodhani. Pengine uelewa kuwa mimi si kama wewe unaeendeshwa kwa kumuangalia nani kasema nini. Mimi ni muelewa wa mambo na sio mdandia basi. Njoo na hoja na uache mambo ya ukawa au usahani.

Katiba usipime, najua itapatikana tu hata kama mkisinzia au mkiamka itakuja tu!!
 
Mwallaaaa This is digital Era if you dont agree get out pf here,the new proposed constitution is inevtable!!!
walewalee!!! sijui kaibukia wapi na karatasi lake la MSALANI.. eti NDIO utapiga wewe na mumeo na hiyo mimba yako
 
mwalla asili aka the banned and new mwalla4 real kibaraka wa kupinga katiba mpya tanzania utatulia tu!!!View attachment 245446
iloooooo hahahahaaa limebadili jina baada ya kugongwa na moderetor....
Senzi ngoja ukuwe utazipokea sana tu hizo pin... Kwa umbwiga wako. Nambie umepigwa hadi lini... Me nshazoea kupigwa hizo huu mwaka wa 12 humu jf wala hazinisumbui kwa kusema ukweli... Hivyo mwalla atabaki yuleyule 4real 4sure
 
Nawashangaa baadhi ya watu humu ndani wanapoteza muda wao mwingi kuikosoa katiba inayopendekezwa lakini cha ajabu kubisha kwao wala hakuna ushahidi wowote wanaouweka juu ya hoja zao wanazozitoa, na hii inaonyesha dhahiri kuwa watu wa namna hii wanapinga ilimradi waonekane wanajua kuongea ama wametumwa na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mapenzi mema na hii nchi.

Kitu kingine watu hawa wamesahau kwamba Katiba hii sio mabishano ya vyama vya siasa, kwani itakuwa ni kwa faida ya watanzania wote vizazi hadi vizazi, ni vema unapobisha kitu uwe walau umekisoma na ukagundua mapungufu fulani kama yapo kisha ukauliza watu waweze kukusaidia kukufafanulia ili mwisho wa siku upate kuelewa na kumaliza unishi usio na maana yoyote humu JF.

Serikali yetu wala haijakurupuka kuuanzisha mchakato huu na Sheria zimetumika vema tangu kuanza kwa mchakato huu, sasa watu wao kazi yao ni kubisha tuuuu tena wengine wanapost picha zisizo na maana ambazo wanazikwapua toka Google, sasa mi naona huku ni kuishiwa hoja, kama katiba hii ni mbaya je hiyo ya kwenu iliyo nzuri iko wapiiiiiiii?

Ndo maana namalizia kwa kusema kuwa, kuendelea kuipinga Katiba Inayopendekezwa wajameni ni sawa sawa na KUZUIA TSUNAMI KWA KUTUMIA MIKONO, jambo ambalo mwisho wa siku tunajua kwamba hutofanikiwa ng'ooooooo.

Ndo maana maandiko matakatifu kama Biblia yanasema kuwa Hatimaye mwisho mwishowe wema utashinda tuuuu.

Ewe mtanzania kuwa mzalendo, mabishano yasiyo na maana kuhusu katiba hii hayakusaidii bali utakuwa unajipotezea muda wako kwa kitu ambacho unajua wazi wazi kuwa ni kizuri na kwa faida ya wote hata wewe unayeipinga.

"TO CRASH THE PROPOSED CONSTITUTION IS LIKE TO PLANT THE SEEDS OF YOUR OWN DESTRUCTION IN YOUR FUTURE" isome katiba hii na kuielewa kwa manufaa yako na vizazi vyako.

Nawasilisha!
hahahahaaa mama CLAUDIAELIAKIMU uko pande iiii
 
Back
Top Bottom