MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
labda wewe na mumeo ndio mtapenyaitapita na upende usipende wewe na ukoo wenu wote mtapaswa kuiheshimu, full stop.!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda wewe na mumeo ndio mtapenyaitapita na upende usipende wewe na ukoo wenu wote mtapaswa kuiheshimu, full stop.!!!!
MUONE HATA KUJITAMBUA HUJITAMBUI.... HUJIJUI UPO WAPI UNAENDA WAPI?Umenielewa!na wewe sio UKAWA ni mpitaji hata kadi huna!
Sio mwasisi wewe, wewe ni mchumia tumbo wa UKAWA a.k.a mfagio wa chooni unaetumika kama vocha.MUONE HATA KUJITAMBUA HUJITAMBUI.... HUJIJUI UPO WAPI UNAENDA WAPI?
MIMI NI MUASISI WA CHADEMA KADI No. OOO665 MWAKA 1992 NADHANI HAPA BABA YAKO ALIKUWA BADO ANAHANGAIKA KUKUTAFUTA KUKULETA DUNIANI:mimba:
....MBAFFFF unajifanya kipofu huoni hujui kusoma eee kumbe naongea na tototundu hata meno halijaota linataka kujifanya mburula kumbe ndo MBURULA ZAIDI.. KWENDRAAAA UCJIBISHANE NA BABA YAKO MBWIGA WEYEEESio mwasisi wewe, wewe ni mchumia tumbo wa UKAWA a.k.a mfagio wa chooni unaetumika kama vocha.
Siku zote kizuri chajiuza na kibovu hunadiwa kwa juhudi kweli kweli na kisinunulike kama no katiba bora hebu kaeni kimya muwachie wananchi xaxa muone watakavyo waumbueni nakatiba yenu!
Watanzania tuna akili sana na mwaka huu hatudanganyiki,hiyo Rasimu ya babu Warioba sio Katiba hatudanganyiki tunayoijua ni Katiba inayopendekezwa!!!Hatudanganyiki nasema tena tunajitambua na tunaamua sawasawa!
Wewe hujui unalolifanya humu ndani,msimamo wa UKAWA ni katiba mpya iwe mvua iwe jua,MSIMAMO WA WATANZANIA NI katiba mpya iwe jua iwe mvua uwe usiku au mchana,sasa wewe unayetaka kuturudisha nyuma ni nani sisi tunataka katiba mpya na itapatikana tu kama hutaki kaa pembeni KATIBA MPYA LAZIMA.
MUULIZE HUYU MBWIGA MTOTO WA LUMUMBA aka BUKU7Samahani, eti kura ya maoni lini vile?
Kuna neno la tusi hapo? Aidha hayo matusi ndio uliyoyategemea?Naona kijana unachanganya frequencies humu ndani, kama hauna jipya nakushauri utulie ama ulale tu, matuc huko huko kwenu, hapa ni nondo za ukweli tuu, ukiweka matuc watu wanajua umeishiwa hoja na unahitaji kumpumzika.
Wewe dekio la chooni huna jipya, utaendelea kuwa mtumwa wa Ukawa mpaka kufa kwako, hutopata hata uongozi, kama uliahidiwa huo ungozi, labda hizo jero jero unaweza pata ili upate mlo hapo kwenu.MUULIZE HUYU MBWIGA MTOTO WA LUMUMBA aka BUKU7
ETIII KURA YA MAONI NI LINI VILEEE???
Mliopo kwa niaba ya kushibisha matumbo yenu kwa ahadi za jero jero toka kwa Ukawa mnajulikana tu humu ndani, mko kupinga kila kia kujifanya mnajua mambo kumbe sifuri tu kichwani.Kuna neno la tusi hapo? Aidha hayo matusi ndio uliyoyategemea?
Kuambiwa kuwa umekuwa ukileta mada hii kwa njia tofauti ni tusi? Huna jambo jengine la maana kwa vile wengi walishasema kuwa wanasusia hiyo katiba nalo ni tusi kwako?
Naishiwa vipi na hoja kwa kukumbusha kuwa wewe na Sitta mnao uhuru wa kuipitisha hiyo katiba?
Naona kama wewe ndie ulioishiwa na hoja.
Heshima inatokana na mchango uliotowa? Yaani unapolazimisha jambo kwa wenzako ndio unajenga heshima kwao?Aisee heshima yako inatokana na mchango ulioutoa kulingana na hoja husika, sasa wewe hapa umeongea nini mbona hueleweki?unaposema wengi walishatoa kibali kwa wao kufanya watakavyo unamaanisha nini? Jenga hoja tukuelewe!
Mimi kwa kutambuwa kuwa hii katiba ni jambo kubwa na la maridhiano basi ingependekezwa na wengi badala ya ubabe na uongo uliotumika kuitengeneza.Katiba inayopendekezwa ndo jambo la maana, we unataka lipi tena?
Heshima inatokana na mchango uliotowa? Yaani unapolazimisha jambo kwa wenzako ndio unajenga heshima kwao?
Kuhusu la wewe kuelewa ninachosema si tabu nitakuelewesha kama unataka.
Ni hivi , huu mchakato una sehemu mbili na zilihitajika sehemu mbili hizi ziafikiane, lakini sehemu moja ikaamuwa kutumia ubabe na kufanya sehemu ya pili kususia.
Ulisema kitu heshima na hapa hiyo heshima haikupatikana.
Hivyo basi niliposema kuwa huyo mtowa mada na Sitta wanaweza kuendelea na mchakato badala ya kuja hapa na kujaribu kununua watu nilikusudia kuwa hakuna maana ya kulobi iwapo nguvu zilishatumika.
Te he he! Kama ni sufuri basi kama nyinyi ni yai, kwani angalau sifuri inatia hesabu lakini yai haliwezi kuingia kwenye hesabu.Mliopo kwa niaba ya kushibisha matumbo yenu kwa ahadi za jero jero toka kwa Ukawa mnajulikana tu humu ndani, mko kupinga kila kia kujifanya mnajua mambo kumbe sifuri tu kichwani.
muone hata kujitambua hujitambui.... Hujijui upo wapi unaenda wapi?
Mimi ni muasisi wa chadema kadi no. Ooo665 mwaka 1992 nadhani hapa baba yako alikuwa bado anahangaika kukutafuta kukuleta duniani:mimba:
Te he he! Kama ni sufuri basi kama nyinyi ni yai, kwani angalau sifuri inatia hesabu lakini yai haliwezi kuingia kwenye hesabu.
Yaani unahisi mimi kuwa na wazo tofauti na mtu kama wewe ( usiyejuwa kuwa kitu cha haki hakihitaji kufanyiwa ulaghai na ubabe kukileta), unahisi nachumia tumbo? La , mimi nahisi kama watu kama nyinyi mnafaa sifa hiyo.
Kwanza mimi si kijana kama unavyodhani. Pengine uelewa kuwa mimi si kama wewe unaeendeshwa kwa kumuangalia nani kasema nini. Mimi ni muelewa wa mambo na sio mdandia basi. Njoo na hoja na uache mambo ya ukawa au usahani.Acha uongo wako wewe, hao wanaojiita Ukawa walisusia wao wenyewe wakidhani watabembelezwa, katiba hii imeshapita wewe acha kupoteza muda wako kijana, acha kuwa mfagio kama ule wa chooni kisa unalipwa jero jero na ukawa.
Unazo points za kuzijadili bwana mwanaharakati makini?Nakukaribisha!mwanaharakati makini huwa hana papala wala mabisha o yasiyokuwa na maana,ukikuta kelele ujue hakuna kitu na ujue unajenga hoja kwa mtu asiyejitambua anayependa kulazimisha mambo hapa hatujadili ulaghai we relay on points ukishindwa unaondoka kiungwana na sio kupiga kelele.
Siku zote kizuri chajiuza na kibovu hunadiwa kwa juhudi kweli kweli na kisinunulike kama no katiba bora hebu kaeni kimya muwachie wananchi xaxa muone watakavyo waumbueni nakatiba yenu!
Siku zote kizuri chajiuza na kibovu hunadiwa kwa juhudi kweli kweli na kisinunulike kama no katiba bora hebu kaeni kimya muwachie wananchi xaxa muone watakavyo waumbueni nakatiba yenu!
Watanzania tuna akili sana na mwaka huu hatudanganyiki,hiyo Rasimu ya babu Warioba sio Katiba hatudanganyiki tunayoijua ni Katiba inayopendekezwa!!!Hatudanganyiki nasema tena tunajitambua na tunaamua sawasawa!
Wewe hujui unalolifanya humu ndani,msimamo wa UKAWA ni katiba mpya iwe mvua iwe jua,MSIMAMO WA WATANZANIA NI katiba mpya iwe jua iwe mvua uwe usiku au mchana,sasa wewe unayetaka kuturudisha nyuma ni nani sisi tunataka katiba mpya na itapatikana tu kama hutaki kaa pembeni KATIBA MPYA LAZIMA.
Samahani, eti kura ya maoni lini vile?
mkuu ngekewa hili ndio tatizo la vitoto vya dotcom ni sheedah yaani sheeeedah!! havina tofauti na kuku wa kidhunguKwanza mimi si kijana kama unavyodhani. Pengine uelewa kuwa mimi si kama wewe unaeendeshwa kwa kumuangalia nani kasema nini. Mimi ni muelewa wa mambo na sio mdandia basi. Njoo na hoja na uache mambo ya ukawa au usahani.
sasa utajuaje na wewe umezaliwa janaSio mwasisi wewe, wewe ni mchumia tumbo wa UKAWA a.k.a mfagio wa chooni unaetumika kama vocha.