kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

sijui mtoa mada umekula maharage ya wapi nilikuwa nakuheshimu sikuheshimu tena mpuuzi wewe.
 
Huna akili wewe, unaonekana kabisa hupu humu kimaslai ya tumbo lako, kiufupi wewe ni mchumia tumbo ulotumwa na Ukawa. Kaa kimya kwani usipo mheshimu ye anakufa? Tumia akili wewe.
 
sijui mtoa mada umekula maharage ya wapi nilikuwa nakuheshimu sikuheshimu tena mpuuzi wewe.

Acha kujikomba wewe kwani kakutuma umuheshimu? afu Historia inaonyesha kuwa umekuzwanna maharage,na isitoshe ulipokuwa sekondari ulikula sana,acha kuleta mapozi wakati ndo mboga inayokuokoa hapo home kwako!
 
Wewe ulikwishakuvua viatu na post zako 1211 mbona huna jipya naona umejaza saver ya JF afu kinachokuuma nini?watu kama nyie msiopenda mabadiliko ndo mnaligharimu taifa! Ungekua na maana kama ungeargue na kujibu hoja kuonyesha ukomavu wa post zako! Suala la msingi hapa ni kura ya maoni kwa Katiba inayopendekezwa mbayo kimsingi haiepukiki ungekenga msingi wako hapo kidogo ningeanza kukufikiria! Unajaribu kupima kina cha mto kwa macho.

Nafikiri kwa upeo wako huwezi kuelewa kile nitakachoongea, hivyo naamua kuacha. kama unadhani fahamu zimekurudia kidogo, rudi nyuma uanzie post yangu iliyosababisha udai kuwa sina la kufanya humu JF. kifupi wewe ndio umeanza kushambulia hoja yangu kwa kudai sina ninachofanya humu badala ya kuijibu kwa hoja mbadala. kifupi wewe uwezo wako wa kutafakari hoja bado mdogo, na kama si hivyo, basi ushabiki unakuharibu.
 
Kijana Utolole kubali ukweli acha unishi, ni kweli wewe wala hwkuna unachofanya humu kazi yako ni kuuza sura tu.
 
Nafikiri kwa upeo wako huwezi kuelewa kile nitakachoongea, hivyo naamua kuacha. kama unadhani fahamu zimekurudia kidogo, rudi nyuma uanzie post yangu iliyosababisha udai kuwa sina la kufanya humu JF. kifupi wewe ndio umeanza kushambulia hoja yangu kwa kudai sina ninachofanya humu badala ya kuijibu kwa hoja mbadala. kifupi wewe uwezo wako wa kutafakari hoja bado mdogo, na kama si hivyo, basi ushabiki unakuharibu.
Kijana acha ubishi, naona jamaa hakukosea kukwambia kuwa uko humu jf kuuza sura tu
 
Kwa hiyo wewe na huyo mwenzio mmeajiriwa kuuza katiba ambayo mnadai ni ya wananchi? Kama kweli ni ya wananchi, iweje mnatumia nguvu nyingi kuipigia debe namna hiyo enyi watoto wa Jk, a.k.a. dotcom? Kama ni nzuri watu wataipigia kura kwa kadiri ya uzuri wake. Acheni mihemuko. Mnatoa povu as if katiba mpya isipopatikana nchi itaangamia, kwani muda wote huo nchi ilikuwa inaendeshwa na katiba gani?
 
Nani kakuambia Katiba inauzwa???acha fikra potofu wewe nyie ndo wale ambao mkipewa madaraka mnauza nchi na watu wake, unawaza kufanya biashara!kwa taarifa yako katiba haiuzwi Katiba ndo sheria Kuu ya nchi sasa itauzwaje???kikubwa isome na uielewe na ukae utafakari kwa nini wananchi waliazimia mioyoni mwao kuwa wanataka katiba mpya?afu wewe leo unaongea nini acha kuchepukia shimoni wewe!
 
Nafikiri kwa upeo wako huwezi kuelewa kile nitakachoongea, hivyo naamua kuacha. kama unadhani fahamu zimekurudia kidogo, rudi nyuma uanzie post yangu iliyosababisha udai kuwa sina la kufanya humu JF. kifupi wewe ndio umeanza kushambulia hoja yangu kwa kudai sina ninachofanya humu badala ya kuijibu kwa hoja mbadala. kifupi wewe uwezo wako wa kutafakari hoja bado mdogo, na kama si hivyo, basi ushabiki unakuharibu.

SIDANGANYIKI narudia tena sidanganyiki sasa ni wakati wa kufanya maamuzi sahihi mimi kama kijana nimejitambua kutumika tena basi 2000-2005 tulitumika holaaa, 2005-2010 holaa,2010-2015 holaaaaaaaaaa nakwambia sidanganyiki eti leo wanaataka niungane na vijana wengine kupinga ujio wa katiba mpya hata hawanipati jitambue wewe acha kuburuzwa!!
 
Kumbe wewe lengo lako ni maslahi? Ulikuwa 'unatumika' ili upate madaraka? kwa hiyo baada ya kuona awamu zote hizo upinzani haujafanikiwa kushika dola umeamua kurejea au kujiunga na chama tawala ili ule mema ya nchi? Hongera sana. Ila kumbuka Asiyekubali kushindwa sio mshindani kama signature yako inavyojieleza...na pia naona umeona walioko juu (CCM) wamekataa kushuka umeamua uwafuate huko huko. kwa nini using'oe mizizi ya mti huo wa uovu ili jamaa waanguke na mti wao? Acha kuwa na msimamo goigoi wewe!
 
Nani kakuambia Katiba inauzwa???acha fikra potofu wewe nyie ndo wale ambao mkipewa madaraka mnauza nchi na watu wake, unawaza kufanya biashara!kwa taarifa yako katiba haiuzwi Katiba ndo sheria Kuu ya nchi sasa itauzwaje???kikubwa isome na uielewe na ukae utafakari kwa nini wananchi waliazimia mioyoni mwao kuwa wanataka katiba mpya?afu wewe leo unaongea nini acha kuchepukia shimoni wewe!

Nani anayataka madaraka yenu? To hell with it! Ila sitaacha kusema nikiona mnatupeleka chaka!
 
Katiba usipime, najua itapatikana tu hata kama mkisinzia au mkiamka itakuja tu!!
Tumeshazoelea ubabe lakini iko siku sauti za wanyonge zitapasuwa masikio yenu. After all hata huo mchakato mliukataa mwanzo na mkazidiwa na sauti za wanyonge.
 
Nani anayataka madaraka yenu? To hell with it! Ila sitaacha kusema nikiona mnatupeleka chaka!

Mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe acha kunivika kilemba cha ukoko wewe hata sikuelewi,kuwa mzalendo na usipende kutumika kuivuruga nchi yako!
 
Tumeshazoelea ubabe lakini iko siku sauti za wanyonge zitapasuwa masikio yenu. After all hata huo mchakato mliukataa mwanzo na mkazidiwa na sauti za wanyonge.

Usijifariji wewe Tanzania haina wanyonge, wewe ndo myonge peke yako usiyetaka kukubali mabadiliko!nani kakuambia wanyonge wanafanya mabadiliko??? Hata kidogo bora ungesema wanamageuzi, wanaharakati, umma n.k sio wanyonge hujui unachangia nini pole!!
 
Mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe acha kunivika kilemba cha ukoko wewe hata sikuelewi,kuwa mzalendo na usipende kutumika kuivuruga nchi yako!

Kama kweli wewe ni mwananchi wa kawaida, naomba unieleze ni vipi ninatumika, na vipi ninaivuruga nchi yangu. Toa maelezo ya kueleweka na si siasa. Ni maneno gani niliyoandika yenye kusababisha kuvurugika kwa nchi?
 
Kumbe wewe lengo lako ni maslahi? Ulikuwa 'unatumika' ili upate madaraka? kwa hiyo baada ya kuona awamu zote hizo upinzani haujafanikiwa kushika dola umeamua kurejea au kujiunga na chama tawala ili ule mema ya nchi? Hongera sana. Ila kumbuka Asiyekubali kushindwa sio mshindani kama signature yako inavyojieleza...na pia naona umeona walioko juu (CCM) wamekataa kushuka umeamua uwafuate huko huko. kwa nini using'oe mizizi ya mti huo wa uovu ili jamaa waanguke na mti wao? Acha kuwa na msimamo goigoi wewe!

Acha kkukurupuka soma hoja vizuri uelewe!kama wewe ni kijana utajua nafasi ya vijana katika masuala ya siasa,nafasi ya vijana na ushiriki wao katika kufanikisha masuala mbalimbali ya vyama na kampeni, maandamano kwani umeshawahi kuona wazee wanaandamana?kama hulijui hilo basi umevamia mada wewe na huna chama!nachokisema hapa Utotole wewe unatumika vibaya jitambue mwaka huu tunaipigia kura Katiba hayo mambo ya kushadadia Siasa sisizo na tija sasa basi! Jitambue.
 
Acha kuongea maneno ya kwenye nyimbo za mwambao, ongea kawaida ueleweke.

Yawezekana umesema kweli kuwa mimi sina chama, na si lazima kuwa na chama, ni hiari. Naamini wewe unacho chama, bila shaka CCM japo unaweza kujaribu (bila mafanikio) kukanusha. Endelea nacho, ni haki yako pia.

Kupigia kura katiba sijapinga, ila kwa kuwa kwenye kura hiyo ya maoni kuna NDIYO na HAPANA, ni uamuzi wangu kusema ndiyo au hapana. Tatizo lenu kila anayesema yeye ni HAPANA mnadai anataka kuvuruga nchi. Kama ingekuwa kura ya hapana inavuruga nchi ninaamini isingewekwa kama chaguo mojawapo wakati wa kura ya maoni.

Kupiga kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekezwa ni haki ya raia..in some sense ni wajibu pia. Kupiga kura ya hapana au ndiyo zote ni haki za raia yule yule. Cha kushangaza, viongozi wa serikali na wafuasi wa chama tawala wanalalamika kudai eti wanaohamasisha watu wapige kura ya hapana watavuruga amani. Huu ni upuuzi kabisa. Kura za ndiyo zikiwa nyingi, katiba inapita, la za hapana zikiwa nyingi, katiba inayopendekezwa inakufa, tunaendelea na iliyopo (ya 1977) kisha tunajipanga kwa mchakato mpya utakaokubalika zaidi. Sasa hapa neno hapana linawezaje kusababisha amani kuvunjika kama wasipoingilia watawala na vyombo vyao vya dola kama wanavyofanya kwenye maandamano na mikutano? Kama neno hapana ni ishara ya vurugu na uvunjifu wa amani, basi lifutwe kwenye ile karatasi ya kupigia kura ya maoni. Wanaliweka neno hilo wenyewe, kisha wanadai ukilizungumzia unahatarisha amani ya nchi!

Kwa hiyo Dingswayo Original, kama ambavyo wewe unashawishi watu wapigie katiba inayopendekezwa kura ya ndiyo, basi wape uhuru wao na wale wenye msimamo tofauti na wewe watoe ushawishi wao. Mwisho wa siku, atakayekuwa na ushawishi zaidi atapata matokeo anayoyahitaji.

Acha kudhania kila mtu anayekuwa na mtazamo kama wako anatumika, iwe vizuri au vibaya. Yawezekana wewe ndio unatumika. Uzuri au ubaya wa kutumika huko hutegemea na mtumikaji mwenyewe kwani kizuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwingine, and vice versa!

Kama hujanielewa hadi hapa, usihangaike kunijibu maana sitakuwa na mjadala tena na wewe kuhusu suala hili.
 
Last edited by a moderator:
Usijifariji wewe Tanzania haina wanyonge, wewe ndo myonge peke yako usiyetaka kukubali mabadiliko!nani kakuambia wanyonge wanafanya mabadiliko??? Hata kidogo bora ungesema wanamageuzi, wanaharakati, umma n.k sio wanyonge hujui unachangia nini pole!!
Eti nini? wanaharakati wanaweza kuwa hata kundi lenu mnaofanya harakati za ubabe. Wewe kataa kuwa hakuna wanyonge lakini mwisho wa siku wenye nguvu huwa wanafanya wanavyotaka. Nielewavyo mimi ni kuwa anaekubali kuonewa kwa sababu ya ubabe wa mtu huyo huwa mnyonge.
 
Ulishapoteza uelekeo wa mchango wako wa kwanza ha ha ha basi bwana kapumzike bhana eti wanyonge watafanya mageuzi ha ha ha ha!
 
Back
Top Bottom