maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Toa maoni yako
Hii imeendaTuanze na wewe Ndugu Mwandishi...Toa maoni yako
Naona wameshapiga marufuku wakati walipigiwa kura na wananchi alimia 97,sasa wanaiogopa asilimia tatu?Tuanze na wewe Ndugu Mwandishi...
Unadhani tatizo ni Nini?
Sasa CCM wameshapiga marufuku hiyo mikutano tuone mtajaza watu wapi!Toa maoni yako