Kujaa kwa mikutano ya Chadema tafsiri yake Mama hakubaliki au CCM imechokwa?

Tuanze na wewe Ndugu Mwandishi...
Unadhani tatizo ni Nini?
Naona wameshapiga marufuku wakati walipigiwa kura na wananchi alimia 97,sasa wanaiogopa asilimia tatu?
 
Wananchi wamechoka, wanahitaji wanahitaji mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…