Kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda

Ulikuwa safari (one way), lakini ukashuhudia mamia ya mabasi kutoka pande zote yakielekea Rorya.

Hizo pande zote ulifanikiwa kuziona ukiwa unaendelea na safari yako.?

Una uwezo mkubwa sana.
Chadema hawana akili waliambiwa waache kumchafua Magufuli wakakataa
 
Elimu Elimu Elimu. Wananchi wetu wanafuata upepo tu kwa ajili ya kukosa Elimu na kutojitambua. Na hii pia inaonyesha jinsi gani watu walivyokata tamaa na viongozi kwa hiyo anayekuja na kutaka kuonyesha njia anapata waafuasi. The same like these called prophetes ambao wanatumia shida za watu kujitajirisha. Hii kazi angetakiwa afanye Waziri Mkuu Majaliwa (It is unforunate) it could sound better lakini si Makonda maana nguvvu yake ni ndogo sana kusukuma serikali hii ya CCM na kima tone la maji kwenye bahari. Hayo ni mawazo yangu.
 
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Wanashinikizwa na nani?
 
hv hii kukusanya watu kupeleka mikutanoni kujaza watu mnaonaga ni kazi rahisi kama kuchota maji kisimani eeh?

yani watu mnawachukulia kama n mchele hv au mchanga wanachotwa wanapelekwa, ingekua rahisi hivyo hamna chama kingeshindwa fanya huo mchezo.

wewe na akili yako ubebwe twende ukashangae mkutano inakujia? Watu hao wanaenda wenyewe kwa mapenzi yao habebwi mtu hapo we endelea jidanganya.
Mkuu, hilo wala usibishe kabisa. Ni utaratibu unaoratibiwa na ofisi za chama, watu wanakusanywa ofisi za kata then magari yanapita kubeba. Wengi hawaendi kwa hiari yao na kwa gharama zao mwenyewe.
 
P
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
ROPAGANDA ZA KITOTO SANA HIZO UNATUMIA YAANI MTU NA AKILI ZAKO TIMAMU UNASHURUTISHWAJE MPAKA UNAINGIA KWENYE BASI KWENDA MKUTANONI? HAKUNA KITU KAMA HICHO WATUY WANAENDA WENYEWE KWA HIARI YAO
 
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.[emoji375][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Kumbee !!
 
Kwahiyo waliopokuomba uwatetee wanaosombwa ukafanyaje?
 
Hivi umesoma ulichoandika kweli ndugu yangu???

Watu wanaenda kwa hiari yao, haya maisha yalivyo magumu mtu hawezi kuacha kazi zake eti aende kwenye mkutano bila kuwa na sababu za msingi.

Labda niombe tu kufahamu, hao watu uliwasimamisha mmoja baada ya mwingine wakakwambia wamelazimishwa kwenda???
Wewe bwana we! Hata ubwabwa waweza kumtoa mwanaccm kilometa 40 kwa gari ya bure akaenda.
Huwa hamsomi ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu hawa wanaccm wa daraja la chini?
 
Pole sana, ulichelewa Sana kuijua CCM na mambo yake Kwa ufupi Huwa Kuna fungu maalum kwa ajili ya kazi hiyo CCM bila kusombana watu hawaendi Huwa wanapewa mpaka posho na chakula ila Kuna mda wakimaliza mambo Yao huwa wanawatelekeza, Kule Nzega Mama alipata watu mpaka wananzega walishangaa, inasemekana alivunja rekodi Bashe na watu wake walisomba mkoa wote na mikoa jirani.
 
P

ROPAGANDA ZA KITOTO SANA HIZO UNATUMIA YAANI MTU NA AKILI ZAKO TIMAMU UNASHURUTISHWAJE MPAKA UNAINGIA KWENYE BASI KWENDA MKUTANONI? HAKUNA KITU KAMA HICHO WATUY WANAENDA WENYEWE KWA HIARI YAO
We ujui kitu, kipindi Cha sakata la bandari katibu mkuu CCM Chongolo alikuwa na mkutano singida mikoa yote ya jirani walienda Kwa kusombwa, jamaa yangu ambae ni kiongozi wa uvccm aliporudi alilaani sana baada ya kugundua waliitiwa kutetea kuuzwa bandari wakati yeye alikuwa anaamini chama chake wameuza bandari.

Sasa walioinjinia safari ni wabunge wote wa Tabora wenyeviti wa ccm nk na walipewa kuanzia 5000 wengine mpaka 30000 usafiri wa mabasi Bure, singida ilijaa watu hatari.
 
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.

“Buses mamia kwa mamia….”

Kazi kweli ipo.
 
Ulikuwa safari (one way), lakini ukashuhudia mamia ya mabasi kutoka pande zote yakielekea Rorya.

Hizo pande zote ulifanikiwa kuziona ukiwa unaendelea na safari yako.?

Una uwezo mkubwa sana.
Japo kaongea kile kinachofanyika kweli ila katupiga hapo kwenye kila pande 😂😂😂
 
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Mkuu unapoona chama chochote kinakaa madarakani muda mrefu kwa shuruti, halaiki za kutengeneza kwa mabavu ya Dola za hivyo ni vitu vya kawaida. Wajinga tu ndio wanadanganyika na hilo nyomi fake. Yaani hilo nyomi la huyo muhalifu halina tofauti na makalio ya mloganzila.
 
Back
Top Bottom