Swali la akili sana kutoka kwa great thinker๐๐๐, akijibu hapana ina maana hata hao kama wangekuwa hawataki nao wasingeenda, makonda ana hela gani ya kuwahonga maelfu ya watu wahudhurie mikutane yake?we ungepakiwa ungeenda,?
Acha ujinga hizo basi mamia kwa mamia hakuna huko rorya.Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Wewe hukushinikizwa?Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Yani ulikuwa safar lakini ukiwa kwenye usafiri ukajua kuwa watu wanafosiwa na magari kila upande yalokuwa yanapita yalikuwa yanaenda kwa makonda dohJana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.
Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Sasa mwambie mbowe aache kulialia kuwa hana mafuta ya chopa apande hata punda watu watajaa tuu.Sasa mtu mara anakuja na lori
Mara ngamia, mara baiskeli mara boda
Kwanini wasijae
Ova