Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Wananajamii forum,heshima kwenu.
Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga.
Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao.
Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata ajali mbaya sana KahamaTanzania , coster yao kugongana na Lori na kusababaisha vifo vitatu vya wanakwaya Amosi, Philbert Manzi na Gatare Ephraim,ambao walikuwa kwenye ministry yao ya kuimba nyimbo za Injili.
CHA KUJIFUNZA,
Baada ya ajali kutokea wakati Kagame alitumia Chopper ya jeshi la Rwanda ndani ya dakika 50 kuja kuchukua majeruhi wakapate matibabu ya haraka nchini Rwanda.
Jana ajali imetokea Tanzania mkuu wa Mkoa na Serikali kiujumla imeshindwa kuleta vifaa na wataalamu sahihi wakati wa majanga.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Kuchelewa kuleta vifaa sahihi kwa wakati kumesababisha vifo ambavyo labda visingetokea au vingepungua kama vifaa na wataalamu wa majanga
Namalizia kwa story ya kweli, ng'ombe wa bwana mkubwa nmmoja miaka ya 2000-2010 walipotea kadhaa kwenye lunch huko wilaya Moja ya Tanga wakawa hawaonekani,zaidi bya ng'ombe 15.
Ikaja helicopter ikawa inawatafuta katika ile lunch mpaka wakaonekana wote.
Rwanda Kagame anatoa chopper kuchukua raia wake, Tz Rais anawahi mkutano Brazil, Tz wanajeshi wataalamu wa majanga wanachelewa while Kuna makambi ya jeshi Karibu Sanaa,
Tupo katika Jamii na nyakati ambao Viongozi waliopewa dhamana hawajali sana raia wao.
Hadhi ya raia ni sawa na PANYA na DIGIDIGI, Ila siku janga litakapo husisha nasaba za karibu na Viongozi haitakuwa hivyo.
Watanzania tuamke, hiki Chama CCM, kimezeeka,ni wakati sasa wa kuwaelewa Viongozi wetu, kwamba uwezo wao umeishia hapo.
Albert Chalamilia,RC alitakiwa afanye mobilization kwa nafasi yake kama Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa.
Badala yake tumeona ma VXL ya serikali ambayo hayakuwa na msaada wowote ule.
Narudia Samia , Serikali mnajifunza nini kutoka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011??🤔🤔🤔
Niwatakie Jumapili njema ya 33 ya Mwaka B wa Kanisa.