Madhara kwa mwamaume ni kuwashwa au kuota shipa. Kwa mwanamke hamna madhara
Wanajamvi nina rafiki yangu kanijia na hii suala nimekosa jibu la kumpa: Anadai mumewake huwa anamwingilia kipindi akiwa kwenye siku zake za mwezi na kila mkatazapo ugomvi wake ni balsa sasa anauliza kuna madhara yeyote atakayo yapata yeye kutokana na hiyo tabia ya mumewe au mwanaume atapata madhara kutokana na kujamiana kipindi cha hedhi?
Mume anasema kipindi cha hedhi anapata joto lisilo lakawaida huko kunako na ndio raha yake.
Naomba kuwakilisha
Madhara kwa mwamaume ni kuwashwa au kuota shipa. Kwa mwanamke hamna madhara
Binafsi nilikosa ushahuri wa kumpatia huyu Dada imeniuma sana nikaona nililete jamvini wajuzi wamjuze, uamuzi aliokuwa nao hadi sasa ni kwenda kwa mamamkwe kushtakia mumewe.
Binafsi ninaona hata kinyaa kumwalia huyu baba kwani ninamfahamu, hainiingi akilini kuvumilia siku 3 or 4 or 5 mkeo awemsafi inawashinda nn nyie wanaume sasa mke akikifungua itakuaje poo na hv hawajajaliwa mtoto au ndoa mpya ndio zinavyo kuwa sie tulioolewa zamani vya digital hatuviziwezi
Una 50 hapo nichukue fegi.