Kujamiana kipindi cha hedhi kwa mwanamke!

BornTown

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2008
Posts
1,716
Reaction score
482
Wanajamvi nina rafiki yangu kanijia na hii suala nimekosa jibu la kumpa: Anadai mumewake huwa anamwingilia kipindi akiwa kwenye siku zake za mwezi na kila mkatazapo ugomvi wake ni balsa sasa anauliza kuna madhara yeyote atakayo yapata yeye kutokana na hiyo tabia ya mumewe au mwanaume atapata madhara kutokana na kujamiana kipindi cha hedhi?

Mume anasema kipindi cha hedhi anapata joto lisilo lakawaida huko kunako na ndio raha yake.
Naomba kuwakilisha
 
Ni wachafu wote wawili..hivi kwa akili yako unaenjoy nini na mauchafu yote yale..kuna mada zinakuja hapa kwakweli mnatuaibisha sana wanawake..
 
Mumewe ni mshirikina huyo wewe na uchafu wote huo bado anaenjoy?
 
Sasa angeenda kupata wapi msaada? Bora hivyo kuliko nyumba ndogo au madada poa,maana ni bora kuzoa uchafu kuliko UK..,KSWND,KSNN nk
Imeandikwa: Mke hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mumewe na mume hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mkewe. Pia msinyimane.
 
Madhara kwa mwamaume ni kuwashwa au kuota shipa. Kwa mwanamke hamna madhara
 
Pia hakuna amani kwa Mrs SAA zote ,kwani hana uhakika na USAFi baada ya shughuli yenyewe.
 
Wanajamvi nina rafiki yangu kanijia na hii suala nimekosa jibu la kumpa: Anadai mumewake huwa anamwingilia kipindi akiwa kwenye siku zake za mwezi na kila mkatazapo ugomvi wake ni balsa sasa anauliza kuna madhara yeyote atakayo yapata yeye kutokana na hiyo tabia ya mumewe au mwanaume atapata madhara kutokana na kujamiana kipindi cha hedhi?

Mume anasema kipindi cha hedhi anapata joto lisilo lakawaida huko kunako na ndio raha yake.
Naomba kuwakilisha

Umenifanya nishindwe kula! Ptu
 
Binafsi nilikosa ushahuri wa kumpatia huyu Dada imeniuma sana nikaona nililete jamvini wajuzi wamjuze, uamuzi aliokuwa nao hadi sasa ni kwenda kwa mamamkwe kushtakia mumewe.
Binafsi ninaona hata kinyaa kumwalia huyu baba kwani ninamfahamu, hainiingi akilini kuvumilia siku 3 or 4 or 5 mkeo awemsafi inawashinda nn nyie wanaume sasa mke akikifungua itakuaje poo na hv hawajajaliwa mtoto au ndoa mpya ndio zinavyo kuwa sie tulioolewa zamani vya digital hatuviziwezi
 
inakuwaje utushutumu wanaume ili hali ni tabia ya mumeo tu japo unadanganya kuwa ni rafiki yako? Unadhani sote tuna tabia kama mumeo? Wanaume wote tunawastahi, kuwavumilia na kuwaheshimu wake zetu isipokuwa mumeo...Pole umeolewa na zuzu
 
Back
Top Bottom