DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mimi ni mtu special Mungu kaniumba hivyo na kanipa Imani thabiti kuwa nikae mbali na Uchafu wa Ngono Maisha yangu yote now napambana niache Legacy tu kama anavyonipa wito.Una shida wewe.
Bila uchafu ungezaliwa wewe.
Tena ukute umezaliwa kwa staili ya kifo cha mende.