ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
We jamaa buana ngoja nikuelimishe.Ngono ni muhimu ngono ni maisha.
Binadamu wa kwanza alifanya ngono.
Malaika walitoroka mbinguni waje kufanya ngono
Ngono imekufanya wewe uzaliwe
Unadhani mama yako angebana mapaja tungekupata wewe.
Usilete mitazamo ya ajabu.
MAISHA NI NGONO NA NGONO NDO MAISHA
Ngono ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu na sio kwamba ngono ndo maisha yenyewe.
Mungu kaweka ngono kama njia ya kuzaliana lakini kumbuka hapa duniani hujaja kuzaa tu una mambo mengi ya kufanya nje ya kuzaa.
Binadamu anapo zaliwa anahitaji vitu vingi ili kukamilisha maisha yake hapa duniani, na kila kitu kina nafasi yake na ndio maana huwezi kufanya ngono kama hujala chakula ukashiba na ili ushibe unahita pesa ili ununue chakula na huwezi kupata pesa ya kununulia hicho chakula bila kufanya kazi.
Ngono ni sehemu ndogo sana kwenye maisha ya mwanadamu na ndio maana ndani ya wiki unaweza jikuta umefanya ngono siku moja tu na penyewe kwa dakika zisizo zidi 40, sasa kitu unacho kifanya dakika 40 ndani ya wiki nzima utasemaje eti ndo maisha yenyewe?
Ukiona mtu anageuza kitu ambacho ni sehemu ndogo ya maisha yake na kukifanya kuwa ndo maisha menyewe jua huyo ni mpumbavu , na ni hasara kwa taifa lake na kizazi chake.