Kujamiina (sex) ilikuaje ukapata Hadhi hivi

Una shida wewe.

Bila uchafu ungezaliwa wewe.

Tena ukute umezaliwa kwa staili ya kifo cha mende.
Mimi ni mtu special Mungu kaniumba hivyo na kanipa Imani thabiti kuwa nikae mbali na Uchafu wa Ngono Maisha yangu yote now napambana niache Legacy tu kama anavyonipa wito.
 
Jiongelee ww usiwaongelee watu wengine, usidhani kila mtu ana abudu ngono kama ww.
 
Kujamiiana ni kusex?

Nikisema. najamiiana na Facebook? nitakuwa sahihi?
 
Tunatafuta maisha/pesa Kwa ajili ya nan?
 
Mimi ni mtu special Mungu kaniumba hivyo na kanipa Imani thabiti kuwa nikae mbali na Uchafu wa Ngono Maisha yangu yote now napambana niache Legacy tu kama anavyonipa wito.
Ukipata muda nenda Mirembe ukikaa siku 42 wanaweza kugundua tatizo lako ni lipi.

Hivi unajua utamu wa kunyanduana wewe...
 
Suala muhimu hivi halipo kwenye Katiba
 
Aisee hii ndo JF ngono 24/7
 
Umasikini unaweza kukufanya kuwa mjinga na kuhisi ngono ni starehe
Ngono ni muhimu ngono ni maisha.

Binadamu wa kwanza alifanya ngono.

Malaika walitoroka mbinguni waje kufanya ngono

Ngono imekufanya wewe uzaliwe

Unadhani mama yako angebana mapaja tungekupata wewe.

Usilete mitazamo ya ajabu.

MAISHA NI NGONO NA NGONO NDO MAISHA
 
 Hiyo ni nature, Kama Kula tu....

Lazima Ule ili uishi....

Lazima kujamiiana ili Kuwe Na muendelezo Wa Vizazi...
Hoja mfu, usifananishe kula na kujamiiana.

Sometimes muwage mnachanganua vitu kabla ya kuongea.
 
Jiongelee wewe sio Mimi
 
Jiongelee ww usiwaongelee watu wengine, usidhani kila mtu ana abudu ngono kama ww.
Boraa hata mseme nyiee waja, yaan watu wana abudu ngono km pumzi khaaaah.
 
Umasikini unaweza kukufanya kuwa mjinga na kuhisi ngono ni starehe
Kaka unaongea point kubwa Sana, sema wazinzi hawawezi kukuelewa kwa maana wanahisi hatuko sawa.

Tendo la ndoa ni muunganiko wa nafsi na kimwili, kumbukeni Kuna wengine wanna nuksi, mikosi na mabalaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…