MendeOLD
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 196
- 405
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside.
Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama adof mtasingwa, sure boy.
Je hemed moroko amezingatia ratio ya idadi ya watu wakati wa uitaji wa kikosi?