Kujenga au kufungua biashara nyingine kipi nianze nacho?

Tatzo co km ujenz n wa moja kwa moja...ni kwa hatua....inaniuma kuwa ntaenda kuziweka tu hela....itapotea tuu....na pia naogopa kuwa mambo hubadilika...mbeleni biashara inaweza ikakwama
hata kujenga ni biashara
unaweza pangisha au kuuza nyumba uliyojenga au kuichukulia mkopo
 
Jengea ndani! Nikimaanisha anza kununua vifaa vya kujengea nyumba kidogo kidogo uwe unavitunza ndani. Hii inategemea kama una sehemu salama ya kutunzia vifaa vyako.

Unaweza kuanza kununu bati ukaweka ndani, ukanunua fremu za milango ukaweka ndani, ukachonga madirisha na milango ukaweka ndani, ukatengeneza magril ya milango na madirisha ukaweka ndani, ukanunua tiles za sakafuni, chooni na bafuni ukaweka ndani, ukanunua gypsum board ukaweka ndani, ukanunua masinki ya chooni, bafuni, jikoni na dinning ukaweka ndani, fyatua tofari za block na uziache, nunua mchanga na mawe sogeza saiti.

Fanya harakati za kupata offer, hati ya kiwanja na kupimiwa na watu wa ardhi/mipango mji kabla hujaanza kujenga.

Unaweza kufungua biashara nyingine na faida inayopatikana unanunulia materials niliyokutajia hapo juu kimoja baada ya kingine. Hapa unaweza kwenda navyo vyote!
 
Hela inatakiwa kutumika kwa lengo moja....mambo mawili haitatosha
Jengea ndani! Nikimaanisha anza kununua vifaa vya kujengea nyumba kidogo kidogo uwe unavitunza ndani. Hii inategemea kama una sehemu salama ya kutunzia vifaa vyako. Unaweza kuanza kununu bati ukaweka ndani, ukanunua fremu za milango ukaweka ndani, ukachonga madirisha na milango ukaweka ndani, ukatengeneza magril ya milango na madirisha ukaweka ndani, ukanunua tiles za sakafuni, chooni na bafuni ukaweka ndani, ukanunua gypsum board ukaweka ndani, ukanunua masinki ya chooni, bafuni, jikoni na dinning ukaweka ndani, fyatua tofari za block na uziache, nunua mchanga na mawe sogeza saiti. Fanya harakati za kupata offer, hati ya kiwanja na kupimiwa na watu wa ardhi/mipango mji kabla hujaanza kujenga.

Ukute kapanga chumba kimoja,hayo material si godown kabisa linahitajika?
 
Tunafanya biashara ili kupata ustawi, kuwa na kwako ni sehemu ya ustawi. Kama biashara imesimama jenga, nenda vacation, furahia maisha. Usipumbazwe na hela unazoziona, nyumba ni asset lakini pia inakupa sense of security na heshima.

Ila ningekushauri badala ya kujenga ununue, lipa deposit kama 20% alafu nyingine kachukue mortigage, mambo ya kununua matofali sijui mabati waachie mafundi na developers. Ishi kisasa.
 
Sina maelezo mengi ila kwamimi nakushauri FANYA VYOTE mkuu kwa

maana ipi?
fanya kwa asilimia hizi hapa chini ksha utajazia mwenyewe

Kujenga Fanya kwa 40%

Biashara Fanya kwa 60%

Namalizia kwa kukwambia tu mkuu hz Pesa Huja na kuondoka hivyo zinapokuja

usithubutu kusema ngoja nianze na kitu flani kwanza,kikifeli hicho ktu utajuta sana

kwakua sasa hv zipo zipo, site endelea kama huendi vile then na huku biasharan Endelea.

Mdogo Mdogo mwisho Mungu anakusaidia unafanikisha vyote,shetan akikupga jicho

atakuweza sehemu 1 tu ila huku kwingine kutakupa matumaini ya kuinuka tena.Hayo tu.
 
Thanks mkuu...nmechukua mawazo yako....ntaanzisha biashara nyingne.....then...!!hizi biashara 2 zitajenga nyumba...!!pamoja ndugu yangu

Inaonekana hujamuelewa jamaa alichokimaanisha.

Labda nikupe maelezo myepesi kwa mujibu wa maelezo yake jinsi nilivyomuelewa.
Alimaanisha hivi kama una milioni 10 na unahitaji kuwekeza basi milioni 4 itumie kwenye ujenzi na milioni 6 itumie kwenye biashara ili upande wowote ukibuma hautajuta sana.

Kiufupi usiegemee upande mmoja.
 
Na yeye hakunielewa...ni kuwa hela inatosha kwa project 1...!!ila kikubwa nimepata idea kupitia maelezo yake...!!
Inaonekana hujamuelewa jamaa alichokimaanisha.
Labda nikupe maelezo myepesi kwa mujibu wa maelezo yake jinsi nilivyomuelewa.
Alimaanisha hivi kama una milioni 10 na unahitaji kuwekeza basi milioni 4 itumie kwenye ujenzi na milioni 6 itumie kwenye biashara ili upande wowote ukibuma hautajuta sana.
Kiufupi usiegemee upande mmoja.
 
Thanks mkuu...nmechukua mawazo yako....ntaanzisha biashara nyingne.....then...!!hizi biashara 2 zitajenga nyumba...!!pamoja ndugu yangu
Kama huna uzoefu wa biashara,
Ni Bora ukomae na biashara Moja.

Ukiwa na utitiri wa biashara afu uzoefu huna, Uwezekano wa KUPOTEZA biashara zote Ni mkubwa.
 
Asante mkuu...nmkaa chini na kutafakari kuwa yawezkana nmepangiwa kufanikiwa kwa hapa nilipo....!!ntatumia kiasi kidogo kuongeza mtaji....kisha nyingne ntaanza ujenzi taratibu
Kama huna uzoefu wa biashara,
Ni Bora ukomae na biashara Moja.

Ukiwa na utitiri wa biashara afu uzoefu huna, Uwezekano wa KUPOTEZA biashara zote Ni mkubwa.
 
Nzuri iyo,
Ni vema kuwekeza Nguvu,pesa&akili zote kwa kitu ulicho na uzoefu nacho.

Kuliko kuanzisha kitu kipya usicho na uzoefu nacho kwa pesa ya mkopo.

Pia,
sishauri sana ukope,
afu eti Kias Kikubwa upeleke kwenye ujenzi ambako unazika Ela badala ya kuweka kwny biashara.

Ingekua VEMA ZAIDI,
Kias Kikubwa (yaani 75%) ukaweka kwenye biashara.

Afu kias flani(almost 25%) anzisha ujenzi.

Kisha utakua unaendelea na ujenzi wako kidogo kidogo kadri unavozidi Kupata faida kwny biashara yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengea ndani! Nikimaanisha anza kununua vifaa vya kujengea nyumba kidogo kidogo uwe unavitunza ndani. Hii inategemea kama una sehemu salama ya kutunzia vifaa vyako.

Unaweza kuanza kununu bati ukaweka ndani, ukanunua fremu za milango ukaweka ndani, ukachonga madirisha na milango ukaweka ndani, ukatengeneza magril ya milango na madirisha ukaweka ndani, ukanunua tiles za sakafuni, chooni na bafuni ukaweka ndani, ukanunua gypsum board ukaweka ndani, ukanunua masinki ya chooni, bafuni, jikoni na dinning ukaweka ndani, fyatua tofari za block na uziache, nunua mchanga na mawe sogeza saiti.

Fanya harakati za kupata offer, hati ya kiwanja na kupimiwa na watu wa ardhi/mipango mji kabla hujaanza kujenga.

Unaweza kufungua biashara nyingine na faida inayopatikana unanunulia materials niliyokutajia hapo juu kimoja baada ya kingine. Hapa unaweza kwenda navyo vyote!
Sasa hapo si kashamaliza ujenzi
 
Okay ngojea nikuelezee

Hapa ofisini nina friji 2 na deep freezer 1
Lengo ni kuwa katika hiyo ofisi kuwe na biashara mbali mbali ili tu nisikose kote

1.kutakuwa na movie library ya movie zisizotafsiriwa...(hapa ntawawekea watu movies kwenye flash....hard disk....laptop na hata kuburn cd pia)...single movie hua ni jero series hua ni 1500

2.nitauza maji kwa bei ya chini....i mean lita 1.5 ntauza 500 na vinywaji vingine hasa hasa energy drinks...!!(hii mostly ni kwa ajili ya kuita wateja...!!na pia kutokosa pesa kabsaaaa)

3.nitauza bulb...(taa za majumbani)...na holder zake pia

4.nitauza batteries....usb chaji...!!flash na card reader na vingine vihusivyo simu

5.nitachajisha simu...!!

6.na vocha za kurusha pia zitakuwepo mitandao yooote

7.pia nitaweka hudum ya kuweka nyimbo na kuflash simu...!!(hii inahtaji mafunzo kidogo)

Lengo la kuchanganya kila biashara ni kuhakikisha napata wateja aina zote...!!naamin pia kwa siku sitakosa pesa kwa siku

Lengo kuu ni hilo ndugu....!!
Kweli upo seriously
 
Back
Top Bottom