Kujenga au kufungua biashara nyingine kipi nianze nacho?

Biashara wewe

Unajenga nyumba ya million 40 ilikukwepa kodi tuseme ya 150000 kwa mwEzi maana umesema wewe ni kijana wa 26years

Sasa 150000*12 mwaka ni million 1.8.Eti unatumia million 40 kusave kulipa kodi ya million 1.8 kwa mwaka.Vijinini huko ukiweka mazao store tu tuseme maharage debe kipindi cha mavuno ni 18000 hadi 23000,ukikaa nayo miezi minne tu unauza debe 35000 hadi 40000.Wewe una mtaji mzuri tu unataka kuufukia sehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Lakini pia pesa hiyo hiyo ya ujenzi million 40 inaweza kukupa faida kubwa sana kwenye biashara

Yaani hata ukichukua million 12 tu unaweza kufungua biashara ambayo huwezi kukosa laki tano kwa mwezi,watu wanapata laki tano kwa mwezi kwa biashara zenye mtaji mdogo sana

Ukipata mia tano kwa mwezi ina maana kodi ni 150k then 350000 ni faida

Usiwe km mtoto aliyezaliwa kijiji kwamba ukiwa na nyumba yako huna shida wewe ni tajiri,Nooooo wewe bado mdogo sana kuanza kuwaza pakulala..
 
Ni kweli mkuu...!!nmeyachukua mawazo yako n ntayapitia pia

Back
Top Bottom