Kujenga juu ya bomba la maji kubwa

Kujenga juu ya bomba la maji kubwa

keshaulo

Member
Joined
Jan 7, 2020
Posts
85
Reaction score
69
Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya?

Dawasa njooni tabata kimanga mtuondolee utata huu, kwanza nakunywa maji machafu.
 
Kwa hiyo unakuja kutueleza sisi hapa ili tukusaidieje? Mkuu wewe ni Mzaramo?
 
Mkuu taratibu na kanuni haziruhusu kujenga juu ya bomba la Dawasco
 
Hebu kunywa maji kwanza bwashee, enhee so itakuwaje!
 
Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya?
Dawasa njooni tabata kimanga mtuondolee utata huu, kwanza nakunywa maji machafu.
Asee, kwa hiyo unataka kumuharibia jirani yako ama
 
Mimi si mzaramo, kwani si mtu? sina hasira,wala simuharibii ,lakini unapovunja sheria na taratibu hujui kama ni kosa? najaribu kutafuta ushauri maana nilishamueleza hakunielewa, what is next?
 
kukukataza kujenga juu ya Bomba la maji ni kwa faida yako, kwasababu ukijenga juu ya bomba kisha bomba likaharibika huko chini nyumba yako italika kidogo kidogo mwisho itabomoka. utakapokwenda kulalamika, majirani zako watakuzodoa , '' hili li jamaa libishi sana tuliliambia siku nyingi halikusikia'''
 
Back
Top Bottom