Kwa hiyo unakuja kutueleza sisi hapa ili tukusaidieje? Mkuu wewe ni Mzaramo?Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya?
Dawasa njooni tabata kimanga mtuondolee utata huu, kwanza nakunywa maji machafu.
Asee, kwa hiyo unataka kumuharibia jirani yako amaWadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya?
Dawasa njooni tabata kimanga mtuondolee utata huu, kwanza nakunywa maji machafu.
Mimi si mzaramo, kwani si mtu? sina hasira,wala simuharibii ,lakini unapovunja sheria na taratibu hujui kama ni kosa? najaribu kutafuta ushauri maana nilishamueleza hakunielewa, what is next?Asee, kwa hiyo unataka kumuharibia jirani yako ama