RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mpuuzi baba yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi baba yako.
Ni liability unless haujaingia madeni kuijenga ndipo uishi nitakupa mfano.Nyumba inakuaje liability ukiishi wewe?
Ni liability unless haujaingia madeni kuijenga ndipo uishi nitakupa mfano.
Wewe umepata kazi, mshahara wako ni 1milion. Unapanga nyumba lets say tabata. Kazini ni posta. Kodi ya nyumba ni laki 2. So unabakiwa na laki nane kudeal na expenses na utility za nyumba nje ya kodi. Hapo kutoka tabata ni approximately km 12 hadi kazini kwako posta so mafuta ya gari no cheap plus unaenda na mkeo na watoto pengine unawadrop shule.
Sasa ukaamua kufanya ujenzi, possibility ya kupata kiwanja katika eneo la mzingo wa kipenyo kamili cha duara cha ndani ya KM 30 kutokea hapo tabata ni uongo. Yaani ukienda chanika viwanja ni huko zaidi ya KM 20+ hadi 30 kutoka hapa tabata. Ukienda kigamboni ni maeneo ya umbali wa KM kuanzia 30+ ndipo viwanja vilipo, na ukienda upande wa morogoro road na bagamoyo road ni zaidi ya KM 35+ kupata viwanja.
Haya haya maeneo yenyewe ukienda utaambiwa yanaanza kuuzwa kwa bei za ghafla yaani milioni 5. So lazima ujipange na hiyo pesa. Then ukishalipia hivyo shughuli inabakia kuanza ujenzi. So itakubidi uwe na cash ili ujenzi uende chap au ukakope ili upate cash ya kuanza huo ujenzi.
Then ukimaliza inabidi ufanye kuhamia sasa makazi mapya. Of which itabidi watoto kuhamishwa shule, au kama watabakia shule hizo hizo basi itakulazimu kuingia gharama ya kuwapeleka mwenyewe au wakae boarding.
Then kuna swala la umbali sasa kumbuka sasa hivi utakuwa kwa siku unatembea KM zaidi ya 60+ au hata KM 70+ per day ambayo ukija piga kwa mwezi ni zaidi ya laki 6 kwenye usafiri tu.
Plus kule mji mpya kuna vitu vingi sana utakosa maana wakati wa ujana unatakiwa kukaa na vijana wenzako mpange mishe za maisha na utafutaji.
Sasa utarudi nyumbani saa ngapi kukaa na familia na utakaa na wenzako saa ngapi kuyajenga.
Hiyo laki sita ya kila siku plus unadeni la kumalizia kulipa ndio mwanzo wa mateso umehamia kwako ila stress pale pale na kudhoofu juu ndio maana watu wengi wanaohamia nje ya mji nyakati hizi za ujana mambo huwa yanaishia pabaya sana.
Maisha ni sayansi na hesabu. Tengeneza formula yako ambayo variables zake zitakuwa ni vigezo vyako ili uishi vizuri kipindi chako cha ujana ili uzeeke ukiwa na afya nzuri na ukajenga nyumba yako ya uzee ili ukaishi kipindi cha utu uzima kwa utulivu kabisa huko nje ya mji.
Sio unatoka kukwepa kulipa kodi ya tshs laki 2 unaenda kukaa nje ya mji huko ambao gharama za usafiri tu ni zaidi ya laki 6 kwa mwezi na bado nyumba haijaisha plus madeni ya mikopo unatumia miaka mingi unaishi kwa wasi wasi na maumivu. Wakati hiyo laki sita ungelipa kodi na laki nne ingebakia kusapoti usafiri na gharama zingine za familia plus upo karibu na town so gharama zitakuwa chini.
Hapo ni bidii yako tu kupambana na biashara ndogo ndogo ili uweze kuongeza kipato na kusave kiasi cha pesa cha kutosha kuanza ujenzi na kuumaliza bila kutegemea mkopo popote.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji23]Dunia sio yetu hii.[emoji16]
Ukijenga kwa mkopo kama sio nyumba ya biashara, umejipakataBiashara kabla ya ujenzi unatakiwa uwe makini sana, biashara ina sayansi yake. Nashauri jenga kwanza huku unafikiria hiyo sayansi ya biashara. Kumbuka katika mahitaji makuu ya binadamu, nyumba ipo ila biashara haipo, tafakari.
Ni ushauri mzuri kwa wasioamini kwenye biasharaUkijaaliwa kupata pesa ya kujenga...fanya fasta ujenge achana na hizi pdf za JF
UNajengea mshahara wenye mkopo alafu usione ujenzi ni gharama mzee ?Kiukweli ujenzi sasa iv ni gharama sanaaa vitu vya ujenzi vipo juu mnooo
SASA KITEndo cha nyumba kuwa ni hitaji kuu ndio kinafanya tusianze na ujenzi kwa sababu hata kula ni lazima lakini hakuna anayeenda kukopa pesa benki ili awe anakula tu au yupo ?Kumbuka katika mahitaji makuu ya binadamu, nyumba ipo ila biashara haipo, tafakari.
Punguza mikwara, mm nazungumzia gharama za vifaa vya ujenzi sio vyanzo vya pesa vya mtu yaan ata ujengee lwa pesa ya chumajlete bado gharama ya vifaa vya ujenzi bongo ni ghali ..umeelewa hoja yangu ?UNajengea mshahara wenye mkopo alafu usione ujenzi ni gharama mzee ?
Acheni kulazimisha vitu wakuu,watu tukomae kusaka channel za biashara.
Bado uko na msimamoNi ushauri mzuri kwa wasioamini kwenye biashara
Hautufai wote.
Naachaje mke..
Unauza nini babeNaachaje mke..
Njoo uniungishe basi
Electronics mummy
Hahahaha! nyumba si umeshajenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nijenge wapi bwana hata ya matope sina. Kwanza electronics unamaanisha vitu kama simu na vifaa vyake? Au vifaa vya umeme wa nyumbani? Sijuagi kutofautisha mwenzioHahahaha! nyumba si umeshajenga
muda wa matumizi huu sasa, acha upare