D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Hapo halipi Kodi ni kuwaza Hela ya kula tu huku ukijenga nyumba ya NDOTO yako taratibu sanasitaki stress 😎
View attachment 3478734
Hii safi kuanzia maisha kabisaPichani ni nyumba ya vyumba viwili tuu na sebure tofari zako 1450 tuu na Kiwanja chako Cha futi 30 Kwa 30 mchanga wako gari mbili kenta za kujaa kabisa, nondo zako chini 5 na juu 10, na Kokoto zako mifuko 30,tuu na bati zako 35/40. Na wewe unakua miongoni mwa watu waliojenga nyumba ya kisasa,🥰Jenga kulingana na kipato chako na mipango pia utafuraia maisha upo kwako, kunamwenzio amejenga nyumba kubwa mpaka Leo mwaka wa kumi Sasa ni boma tuu na halijaisha🙏🙏🙏🙏
Copywriting (fundi issa fb)
View attachment 3478739
Acheni kupalilia umaskiniTuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍
View attachment 3478733
Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy