Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

...umenena vyema Mkuu. Kwa mfano Mimi in lazima jumba langu uwanja Wa Basketball ambao pia utaweza kutumika pia kwa Tennis na Badminton in lazima uwepo!!
Mambo ya kuishi kajumba ambako mkiongezeka kidogo tu inabidi kuweka traffic lights, Mimi hapana kwa kweli...!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu ukijenga nyumba kubwa hata ukitaka kupangisha kupata wateja saingine ni mtihani !
 
Wote mliojibu labda bado ni watoto wadogo sana tena wa maskini,

Nyie, mjumba wangu mmoja una vyumba 35, nipo na mke wangu tu, tumejimega ghorofa ya kwanza chini chumba 1 na sebure,

Na vyumba vilivyo baki tumepangisha Guest house, na Hotel, na fremu za maduka 9, hatujala na kutembelea watoto ulaya kwa hela yetu? ndugu washamba hawajapata ajira? tunapata hela kwa wakati.


mwingine una vyumba 7 hostel ya wanafunzi nimefanya

wa tatu una vyumba 4 Mbezi beach, nimepangisha nyumba nzima!
 
Teh teh teh...'ungekuwa emeshajenga'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Mkuu kwani mnafahamiana?
 
Chumba cha nguo, chumba cha viatu, chumba cha soxy, chumba cha kuvalia!

Mateso yote hayo ya nini kutawanya activities zenye kufanana?

Tusiseme sana, tupige wote magoti tukuombee umri mrefu 80+.

Utakuwa unasahau hata chumba cha kuvalia kilipo! Tuombe uzima.
 
tuombe uzima mkuu,si rahisi kunielewa naongelea kitu ya aina gani.
 

.......Nikiwa mzee nageuza lodge inaendelea kunilea.
 
Nimekusikia mkuu , itabidi hiki kijumba changu cha ghorofa 4 nihame nikifanyie mipango mingine , yaani uzi huu ni kama nimetungiwa mimi !
 
Kasome tena, hata kwenye vitabu vya Mungu kuna mfalme Suleimani alijenga
mjengo wa haja.
 
Faida nyingine ya kujenga nyumba za kawaida ni ufisadi kupungua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…