Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Uko kama MimiMleta mada umezungumza ukweli kwa wenye mtazamo kama wako. Sisi wengine tuna mtazamo tofauti. Tokea tumeanza kujitambua malengo yetu ni kupambana ili tuje kujenga nyumba ya ghorofa moja na vyumba 6 vya kulala. Tusipoweza kulitimiza hili then we are a failure on this beautiful earth regardless of other factors.
Si kila mtu anajenga nyumba kwa ajili ya faida, pesa huwa ikiwepo inasumbua, kujenga nyumba kubwa ni ufahari tu na kuonyesha matumizi halali ya pesa.Siku hizi hatujengi tena Nyumba Yenye mavyumba mengi hivyo
Mnajenga chumba na senile?
Hii sababu ni ndogo Sana mashetan tena?Mijumba mikubwaaa unakaa na mume wako tu..... Watoto Wana miji yao. Matokeo yake mapepo na Mashetani yanahamia nyumbani kwenu
Ndege hawana uwezo wa ku-rentHata ndege wanajenga nyumba kuepukana na atha ya jua na mvua.
Hata ndege wanajenga nyumba kuepukana na atha ya jua na mvua.
Umeongea vyema kabisa.Cha muhimu fanya kile kitachokupendeza kulingana na uwezo wako.
Yaani maskini ajenge nyumba ya vyumba viwili na bakhresa nae ajenge hivyo hivyo si matumizi mabaya ya utajiri???
Mola akikiruzuku mali basi pamoja na mambo mengine ishi sehemu nzuri, kula vizuri, vaa vizuri, tembelea gari zuri nk
(usisahau kuwasaidia wasiojiweza)
Kweli kabisa swala hapa ni uwezo wa mtu ,furaha yake na mahitaji yake ya baadae, hakuna ukubwa maalum wa nyumba mtu anaweza sema huu unatosha. ISHI MAISHA YAKOinatakiwa kujenga nyumba kuendana na kipato chako, watanzania wengi kipato kidogo anataka kujenga lijumba likubwa , mara bati la msouth, matokeo yake linachukua miaka kukamilika, jenga nyumba kuendana na kipato chako,
Nyumba standard ni 3 bedroomsUmeongea fact,utakuta mtu kajenga nyumba kubwa kuimalizia kasheshe kila weekend utamsikia naenda saiti bora piga 3 rooms na sebule na stoo
Watu tuliotokea kwenye umaskini (hasa wa africa) huwa tuna shida sana......mara nyingi huwa tunadhamini sana mali kuliko kitu kingine lakini pia tunapenda vitu vitakavyotuonyesha kwenye jamii.......yaani kujenga nyumba ya vyumba vitatu mtu anawaza hivi na uprofesa wangu wote watu wataniona je?........wakati huo huo wazazi ama jamaa zake wa karibu wanaishi kwenye nyumba za udongo kijijini hata kama hawaishi kwenye nyumba za udongo lakin maisha yao unakuta ni duni mno..... there are so many things we could do kwenye investments zikasaidia vizazi na vizazi.....tatizo letu ni exposure na umaskiniMleta mada umezungumza ukweli kwa wenye mtazamo kama wako. Sisi wengine tuna mtazamo tofauti. Tokea tumeanza kujitambua malengo yetu ni kupambana ili tuje kujenga nyumba ya ghorofa moja na vyumba 6 vya kulala. Tusipoweza kulitimiza hili then we are a failure on this beautiful earth regardless of other factors.
Kuna tofauti kati ya kuunganisha tofali na kujengaUmeongea fact,utakuta mtu kajenga nyumba kubwa kuimalizia kasheshe kila weekend utamsikia naenda saiti bora piga 3 rooms na sebule na stoo
since way back natafuta hela dream yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kubwa na nimejenga nyumba yenye vyumba kumi, nyumba ndogo hapana bora nisijenge, unajenga nyumba ya vyumba vitatu mtu akiflash chooni sebleni wanasikia,mimi nyumba yangu kutoka sebleni kwenda chooni ni mwendo wa dakika 10