Hakika!! Tena saa nyingine labda pesa iwe ya kupita ila kama ni endelevu huwa hakuna kuwaza hiyo.Haswaa Shadeeya hayo mambo mengine sijui hasara au nini yatakuja baadae lakini kwanza mtu anajenga nyumba ya ndoto yake
Hivi saa hii wanakaa kina nani kwenye ule mjumba?RIP Mzee Reginald Mengi
Nimemaliza comment yangu
[emoji3][emoji3][emoji3] nyumba mkubwa ndo mpango,mimi bila nyumba kubwa naona kama sijajenga[emoji38][emoji38][emoji38] dk 10, weka bajaji za kuendea chooni mkuu
Itakuwa kuna wafanyakazi tu wa usafi na walinziHivi saa hii wanakaa kina nani kwenye ule mjumba?
Japo nawaza pia kwa pesa alizokuwa nazo angejenga kajumba ka wasiwasi watu wangemueka kundi gani?
Najua ile ndoto yako umeshaitimiza kwahiyo hata utakapokua bibi hapao baadae roho yako ilishapata kile ulichotamani.Hakika!! Tena saa nyingine labda pesa iwe ya kupita ila kama ni endelevu huwa hakuna kuwaza hiyo.
Nimeongelea vyumba 12 vya kulala kama una studio inamaana una matumizi nayoUmeongea vyema kabisa.
Wengi wenye mijumba mikubwa wana zaidi ya vyumba huko ndani.
Kuna swimming pool, garage, movie theatre, sports arcade, bathrooms za kutosha, studio ya kurekodia, ofisi, library, walk in closets, kitchens za kutosha, living rooms za kutosha.
Sio kila mtu anapenda kujibana kwenye 3 bedrooms.
Hii picha ni kwenye mauzo ya nyumba ya vyumba 12 vya kulalaAliyekwambia nyumba kubwa kama hiyo kila chumba ni cha kulala ni nani, hapo kuna study room, library, theatre, studio, indoor bar, club, etc...ukiwa na hela huwezi waza matumizi wala huwezi ona shida kujenga nyumba kubwa kama hiyo...kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Alamski
KabisaaNajua ile ndoto yako umeshaitimiza kwahiyo hata utakapokua bibi hapao baadae roho yako ilishapata kile ulichotamani.
I'm on my way. 💃💃Ila Shadeeya hujatimiza ahadi ya kunitumia ile ramani ujue, au hutaki saresare maua🤪🤪🤪, imenikonga roho sana ile aisee
Hata kama una pesa ndefu uzeeni huwo uwezo wa kufanya ma party hutakuwa nao si kwa pesa bali kwa nguvu kukuishia. Nyumba itabaki kama gofu wewe unatumua chumba kimoja jiko na sebuleKuna watu nature yao wanapenda ligi,kwahiyo anataka kuonyesha watu kuwa yeye ni nani badala ya kufikiria idadi ya watoto wake na maisha yake ya uzeeni ambapo watoto hawatakuwepo tena hapo nyumbani,ingawa kama una pesa ya kutosha kujenga hiyo nyumba siyo shida,ila kama hela yako ni ya kuunga unga sishauri...
Wewe umemwelewa mtoa mada. Nilivyoelewa mimi hawazungumzii matajiri wakubwa kama kina Bakhesa. Anazungumzia kina sisi. Mtu unakuta kipato chake ni kidogo lakini anang'ang'ana kujenga mjumba mkubwaa. Watu wa aina hii wako wengi sana.inatakiwa kujenga nyumba kuendana na kipato chako, watanzania wengi kipato kidogo anataka kujenga lijumba likubwa , mara bati la msouth, matokeo yake linachukua miaka kukamilika, jenga nyumba kuendana na kipato chako,
100Mleta mada umezungumza ukweli kwa wenye mtazamo kama wako. Sisi wengine tuna mtazamo tofauti. Tokea tumeanza kujitambua malengo yetu ni kupambana ili tuje kujenga nyumba ya ghorofa moja na vyumba 6 vya kulala. Tusipoweza kulitimiza hili then we are a failure on this beautiful earth regardless of other factors.
Kwa nini mkuu,mbona room 4 ni nyumba ndogo sanaNyumba standard ni vyumba vitatu,sijawahi kuipenda nyumba yenye vyumba vinne na kuendelea
Nalog off
Kwa nini mkuu,mbona room 4 ni nyumba ndogo sana