Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Nyumba ya vyumba 12 hiyo ni hotel au?
Mm nyumba yangu ni 2 room 1 master na choo+bafu sina bwebwe mingi
Kibongo bongo kujenga linyumba likubwa unajikuta huwezi kulimalizia unaamua uhamie hivyo hivyo unakuwa kama unaishi jela tu
 
Kweli!... Ukute mtu kajenga lijumba la ghorofa moja halafu hakuweka lift na mungu akamjalia kuishi miaka zaidi ya 90. Kupanda ngazi kwenda ghorofani ni kazi kama huna wasaidizi.

Mzee mipango nae siku zijazo ataanza kuhimiza watu walipe kodi ya majengo kwa mita za mraba!. ... Mbele ya safari utatamani kulikimbia jumba kuelekea shamba.🥴🥴
 
Back
Top Bottom