Oh samahani nimekukwaza! Hakuna urafiki kati ya me na ke kama kei hakuna. Naomba kusepaKampani ya hapa kwenye thread ndio nataka, umesikia mimi mama muuza au mgawa kei?
Umetuita au upimbi wako ndiyo unakuongozaNimekuambia nataka uwe rafiki yangu?
Tatizo lako hujioni ulivyo mpuuzi, ila kwa vile ni ke tunakustahimili. You need to mature! Hivi unawezaje kuanzisha uzi kama huu iwapo si changudoa?Nimewaita ndio, nimesema nataka muwe rafiki zangu? Hem tembea mbele bwana
Hawa viumbe huwaga wanatoa kampany ya maanaNawasikia tu mpendwa
sasa binamu yangu nikuchulie nini ili ujisikie poa. sipendi kukuona ukiwa na uzuni kipenzi.Mvinyo situmii binamu