Kujeni mnipe kampani

Kujeni mnipe kampani

Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
 
Sir Khan, Kilichonichosha sio mafua ndugu, siku ya leo nilikuwa na pilika nyingi mno
 
Ukifika ule mda ambao utaitaji mkuyenge unishitue ngoja kwanza waje madogo upige nao story ule mda wa sita kwa sita nishitue baki na madogo kwanza wakupe story
 
Back
Top Bottom