BarikiwaSawa, ahsante kwa ushauri nitaufanyia kazi
Naomba mavi.Hahaha, leta karata tucheze....
Brother, you made it.
Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Nimefurahi kusikia hivyo !Ahsante, niko poa leo