Abaki na utumwa wake banaaaHahaha shemela tukipata mtumwa si ndio vizuri, atakuwa anatutumikia sote
Nataka ifike 100%Ahsante, nimepona kwa asilimia 80
Ayaaaaaaa kumbe naww umeshakaona???Kamefika na Kana majibu....
Siyo makusudi..sema abaki na Mimi...Ayaaaaaaa kumbe naww umeshakaona???
Poa tu Khantwe baki na Makusudi yako
Ewaaaa kwa mara yakwanza napata njia ya kujua nini nifanye [emoji23]Mimi na wewe hatujazoea kushobokeana bwana, hicho unachotaka (sikijui maana sijaweza kusoma katikati ya mistari) hapa kwangu hakipo
Akibaki nawewe ni hatari sana , hainaga ushemeji.Siyo makusudi..sema abaki na Mimi...
Yawezekana hawajui mziki wa mafua au ndiyo ile tabia ya kubeza kila kitu ilimradi na wao wawe wame comment.Ahsante mrembo, nawashangaa wanaobeza mafua...mimi binafsi huwa yananitesa sana maana yanaambatana na maumivu ya kichwa pamoja na homa kali.,..pua zinaziba yaani kero tupu. Dawa huwa mara nyingi situmii huwa nayaacha yapone yenyewe
Noma sanaWanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Mkuu,Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.
Uzi tayari
Mimi machungwa ndio huwa nakula kama yoteYawezekana hawajui mziki wa mafua au ndiyo ile tabia ya kubeza kila kitu ilimradi na wao wawe wame comment.
Uwiiii, unawezaje kuvumilia hadi upone bila dawa? Mimi ningeshameza dawa kama zote, na tangawizi na malimao, na ndimu na maganda ya machungwa na pilipili manga[emoji23][emoji23]
Teh teh teh,, mali ya mtu hiyo, si yetu macho tu [emoji1]Mzee baba..wa mwisho ndo mshindi
[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa fursaTeh teh teh,, mali ya mtu hiyo, si yetu macho tu [emoji1]
MkuuMkuu we toa msaada ukiomba hayo maswali yanatoka wapi
Candle zitakua zmeenda tofauti mpk Mafua yametokeaKilichonichosha sio mafua ndugu, siku ya leo nilikuwa na pilika nyingi mno