Kujeni mnipe kampani

Kujeni mnipe kampani

Mimi na wewe hatujazoea kushobokeana bwana, hicho unachotaka (sikijui maana sijaweza kusoma katikati ya mistari) hapa kwangu hakipo
Ewaaaa kwa mara yakwanza napata njia ya kujua nini nifanye [emoji23]

Sure hatujazoeana na hatunaga shobo,..mambo yanabadilika ujue ?.

Sasa namie siwez kisemea hapa, labda nimtumie MUSIBA!!!!

Wazee wa zaman walimtumia Njiwa, wengine waliomba kua na mabawa [emoji6]
 
Ahsante mrembo, nawashangaa wanaobeza mafua...mimi binafsi huwa yananitesa sana maana yanaambatana na maumivu ya kichwa pamoja na homa kali.,..pua zinaziba yaani kero tupu. Dawa huwa mara nyingi situmii huwa nayaacha yapone yenyewe
Yawezekana hawajui mziki wa mafua au ndiyo ile tabia ya kubeza kila kitu ilimradi na wao wawe wame comment.
Uwiiii, unawezaje kuvumilia hadi upone bila dawa? Mimi ningeshameza dawa kama zote, na tangawizi na malimao, na ndimu na maganda ya machungwa na pilipili manga[emoji23][emoji23]
 
Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Noma sana

Smart guy
 
Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.

Uzi tayari
Mkuu,
shemeji yupo wapi hadi unapata taabu ya kuomba kampani jf?
 
Yawezekana hawajui mziki wa mafua au ndiyo ile tabia ya kubeza kila kitu ilimradi na wao wawe wame comment.
Uwiiii, unawezaje kuvumilia hadi upone bila dawa? Mimi ningeshameza dawa kama zote, na tangawizi na malimao, na ndimu na maganda ya machungwa na pilipili manga[emoji23][emoji23]
Mimi machungwa ndio huwa nakula kama yote
 
Back
Top Bottom