Kujiajiri bila mtaji inawezekana

Kujiajiri bila mtaji inawezekana

Kuna kazi huwa zinatangazwa kupitia LinkedIn na baadhi ya application za kutumia computer na inalipwa mwisho wa kazi. Changamoto Kuna wengine wanataka ulipie tenda Kama kishika tenda Ili wakuamini na Kama huna inakukata.
Nielekeze mkuu mdogo mdogo ili nianze na fursa hizo mana bando,smart na bando lipo la kutosha sasa nipe info zaidi hata leo nianze hizo kazi
 
Nielekeze mkuu mdogo mdogo ili nianze na fursa hizo mana bando,smart na bando lipo la kutosha sasa nipe info zaidi hata leo nianze hizo kazi
Kaitafute Upwork fungua account huko na uanze kuhangaika na madili. Mimi nilifanya nikaishia njiani ingawa wengi wanalipwa.
 
Kaitafute Upwork fungua account huko na uanze kuhangaika na madili. Mimi nilifanya nikaishia njiani ingawa wengi wanalipwa.
Wengi wapi hao mkuu...
Kuna vigezo kule tena ni very tafu..
Vinahitaji mtu mzoefu ana experience ya miaka hata miwili...
Vigezo vingi sana
 
Wengi wapi hao mkuu...
Kuna vigezo kule tena ni very tafu..
Vinahitaji mtu mzoefu ana experience ya miaka hata miwili...
Vigezo vingi sana
Ndio ivo na ndicho kilichonikimbiza. Kwasasa kwakutumia bando nahangaika na wanaofanya application za vyuo na bodi ya mikopo. Natumia makundi ya WhatsApp kujitangaza na napata mmoja wawili maisha yanaenda. Lakini hizo za nje na zile za kuuza bidhaa Kisha nipate kamisheni nilichemka
 
Ndio ivo na ndicho kilichonikimbiza. Kwasasa . Natumia makundi ya WhatsApp kujitangaza na napata mmoja wawili maisha yanaenda. Lakini hizo za nje na zile za kuuza bidhaa Kisha nipate kamisheni nilichemka
Sasa hapo umenena kwenye """kwakutumia bando nahangaika na wanaofanya application za vyuo na bodi ya mikopo""""
Fursa za kuambiana ndo kama hizo ila sio kule ambako ili ufanikishe lazima uwe na vigezo ambavyo vitamtaka mihusika atafute pesa ili apate ujuzi mkuu
 
AFu ukute anaandika haya akiwa anakaa kwa mama.
kujiajiri bila mtaji inawezekana 😀 😀
labda uwe bwabwa
Uwe chele....
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌
Kuna mtu hapa nimemsomea comment yako kasema """ni kweli naunga mkono hoja labda uwe bwabwa"""
 
Mtaani mambo magumu sana lkin wazee wakiwa majukwaani au humu mtandaoni wanaongea as if wanatupenda sana na kututakia mema deep down hawana msaada wowote, lkn kama ni kijana wako au ndugu Yako humpi huu ushauri unapiga simu sehemu kijana ajibanze apate chochote ila wengn unawaambia mambo haya 😁😁😁
 
Back
Top Bottom