Tatizo hapo ni akili tu, kwa generalisation hizi nyepesi unazofanya acha uendelee kuteseka tu!
Kweli kabisaa inabdi uweze kuajiri msaidiz siku moja moja unakaa home kusubirii hesabu...!!Ukiona unasema umejiajiri na hiyo kazi yako bado inahitaji uwepo wako 24 zidisha mapambano maana wewe bado ni maskini
Mpwayungu amechoka kuhangaika sahv anataka test ya mkuyengeKweli mkuu apambane asije akajaribu upompoma kama ule wa mpwayungu village
Ukiangalia vizuri utakuta hata mtoto si wako.Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee.
Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la watu wachache waliojiajiri, hapa utawakuta kina Mo, Bakhresa, na matajiri wengine walio invest ama kuweza kuajiri watu wa kusimamia miradi yao,
Kiuhalisia huku kwenye kujiajiri kundi kubwa ni day workers, yani hakuna uhuru wa kusema leo nilale hadi saa nne, nipumzike weekend nzima, niende likizo mbugani, n.k. yani kuamka ni almost kila siku asubuhi na kurudi ni usiku, hatupendi lakini inatulazimu
Ni mwaka wa tatu huu kwenda ofisini saa moja kurudi saa moja ama mbili ni mwendo mdundo bampa to bampa,
Naweza kusema nna nafuu siku pekee ya kumpumzika ni jumapili tu, nje ya hapo labda krismas na pasaka imeisha hio.
Muda wa kurudi ndio hivyo tena ni usiku yani hata kupata muda wa kuspend na mwanangu unakuwa limited, nikifika mimi nimechoka nae anakaribia kwenda kulala.
Umeongea neno moja la maana sana mkuu,Kaa nyumbani uone inavyochosha zaidi tena bila kuingiza chochote. Ukitoka kuna kitu unapata kithamini.
Yaan vijana wamempa usaidiziUkiangalia vizuri utakuta hata mtoto si wako.
We mtoa mada chukua ushauri huu acha kumbwela kesho uje kuandika unajuta kwanini hukua mwanamke, Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tenaUna masaa 24 ndani ya siku.
Umetumia jumla masaa 12.
Still una masaa 12 yamebaki
Ukilala masaa 8 still yatabaki masaa 4
Kama umezaliwa mwanaume lazima upambane kila siku mpk utakapoondoka duniani.
Jitambue wewe ni nani, halafu piga kazi.
(Kazi kazi mkuu)
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3578][emoji3578]We mtoa mada chukua ushauri huu acha kumbwela kesho uje kuandika unajuta kwanini hukua mwanamke, Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena
Kwenda na muda ndo kitu pekee wabongo kinatuangusha nakuona mambo magumu naamini kabisa uyo jamaa haeshimu muda ndo maana anakosa nafasi hata yakuspend na familia au ni mvivu tuWe mtoa mada chukua ushauri huu acha kumbwela kesho uje kuandika unajuta kwanini hukua mwanamke, Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena
Hapo sijakuelewaDuniani hakuna nafuu,walioajiriwa wanatamani kujiajiri,na waliojiajiri wanataka kuajiriwa,yaani tabu tupu,bora tu kuokoka...
Kama biashara inamuhitaji kila siku hana tofaut na aliyeajiliwaFunga biashara mkuu, upate muda wa kupumzika.
Mwaka wa tatu kwanini hutafuti mbinu ya kudhibiti mauzo na bidhaa zako ili uweke msaidi upate muda wa kupumzika!?
Au ni biashara inayokuhitaji wewe Kwa asilimia mia Moja Kila ikiwa wazi?
Mkuu kinacho tusumbua wengi ni financial education kujiajiri(self employee) ni sawa au ni kugumu kuliko kuajiriwa.Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee.