Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Mwaka wa 6 huu nagaragazana na biashara hata kibanda sina na mtaji sina nahisi ningekuwa kwenye ajira huenda ningejitutumua kidogoYah,yani hakutaki haraka,ni uvumilivu,ubunifu na subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wa 6 huu nagaragazana na biashara hata kibanda sina na mtaji sina nahisi ningekuwa kwenye ajira huenda ningejitutumua kidogoYah,yani hakutaki haraka,ni uvumilivu,ubunifu na subira
Kijana wa tz kuwa tajiri ni sawa na ngamia kupenja kwenye tundu la sindanoKujiajiri na kuajiriwa kote kunategemea malengo ya MTU zaidi.
Kuna Biashara unaweza kufanya ukawa unaishia kupata hela kukutosha wewe tu na sio kupata akiba na kutengeneza ukuaji na hizi ndo bishara tunakomaa nazo wa ts wengi. Tunaishia katika hand to mouth life.
Kuajiriwa pia inategemea unafanya kazi Kama nani na unalipwa sh. Ngapi watz wengi tulioajiriwa tunaishi Paycheck to paycheck life. It hell
Ikiwa Unaianza safari ya maisha kwa kijana asiyekuwa na mtaji mkubwa bora kuajiriwa na ukajibana then ukawekeza katika biashara.
I bealive in assurance than in process
Pambana mkuuMwaka wa 6 huu nagaragazana na biashara hata kibanda sina na mtaji sina nahisi ningekuwa kwenye ajira huenda ningejitutumua kidogo
Jipime kati ya kuendelea kujiajiri pekee na kujiajiri + Ajira, then mafanya maamuzi.Nimejiajiri miaka mitano Sasa , profit kwa mwez NI 1.2 had 1.5m
Mwaka huu nikapata Ajira kwa mwez napokea 500k hafu mazingira ya Kazi NI magumu , bado nipo dilemma Sana niachie Ajira nikomae na mishe zangu au nisukume vyote , but option pekee naiona NI kuachana na Ajira , time will tell na nitakuja kuandika Uzi humu JF soon
Nausubiria huo mrejesho mkuu maana namimi nawaza ikitokea kama wewe ntafanyajeNimejiajiri miaka mitano Sasa , profit kwa mwez NI 1.2 had 1.5m
Mwaka huu nikapata Ajira kwa mwez napokea 500k hafu mazingira ya Kazi NI magumu , bado nipo dilemma Sana niachie Ajira nikomae na mishe zangu au nisukume vyote , but option pekee naiona NI kuachana na Ajira , time will tell na nitakuja kuandika Uzi humu JF soon
Mkuu mtaji ni kikwazo sana natamani ningepata ajira nikusanye nguvu kwa miaka kadhaa halafu nirudi kwenye gamePambana mkuu
Mkuu siku ni moja tuMkuu mtaji ni kikwazo sana natamani ningepata ajira nikusanye nguvu kwa miaka kadhaa halafu nirudi kwenye game