Kujiajiri VS Kuajiriwa

Kujiajiri VS Kuajiriwa

Kujiajiri na kuajiriwa kote kunategemea malengo ya MTU zaidi.

Kuna Biashara unaweza kufanya ukawa unaishia kupata hela kukutosha wewe tu na sio kupata akiba na kutengeneza ukuaji na hizi ndo bishara tunakomaa nazo wa ts wengi. Tunaishia katika hand to mouth life.

Kuajiriwa pia inategemea unafanya kazi Kama nani na unalipwa sh. Ngapi watz wengi tulioajiriwa tunaishi Paycheck to paycheck life. It hell

Ikiwa Unaianza safari ya maisha kwa kijana asiyekuwa na mtaji mkubwa bora kuajiriwa na ukajibana then ukawekeza katika biashara.

I bealive in assurance than in process
 
Kijana wa tz kuwa tajiri ni sawa na ngamia kupenja kwenye tundu la sindano
 
Inategemea na mtu binafsi,kwa malezi niliyopitia sijawai kufikiria kuajiliwa, hehehehe kimbembe kilikuja baada ya kumaliza chuo Yan uwaeleweshe wazee kwamba hutahangaika na kutafuta kazi yeyote zaidi ya mishe zako,end of the day walielewa na nafurahia uamuzi wangu.
 
Inategemea kwakweli kwa upande wangu sijawahi kujiajiri,ila nimeshuhudia baadhi ya marafiki zangu wakifunga biashara na wengine wanapitia msoto mkali sana kwenye hizo biashara zao.

Msiseme kuajiriwa hakuna faida,inategemea na kiwango cha pesa unacholipwa.
 
Nimejiajiri miaka mitano Sasa , profit kwa mwez NI 1.2 had 1.5m

Mwaka huu nikapata Ajira kwa mwez napokea 500k hafu mazingira ya Kazi NI magumu , bado nipo dilemma Sana niachie Ajira nikomae na mishe zangu au nisukume vyote , but option pekee naiona NI kuachana na Ajira , time will tell na nitakuja kuandika Uzi humu JF soon
 
Jipime kati ya kuendelea kujiajiri pekee na kujiajiri + Ajira, then mafanya maamuzi.
 
Nimejiajiri miaka mitano Sasa , profit kwa mwez NI 1.2 had 1.5m

Mwaka huu nikapata Ajira kwa mwez napokea 500k hafu mazingira ya Kazi NI magumu , bado nipo dilemma Sana niachie Ajira nikomae na mishe zangu au nisukume vyote , but option pekee naiona NI kuachana na Ajira , time will tell na nitakuja kuandika Uzi humu JF soon
Nausubiria huo mrejesho mkuu maana namimi nawaza ikitokea kama wewe ntafanyaje
 
Back
Top Bottom