BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Japo sijaulizwa mimi .. nikiruhusiwa naweza kujieleza ... NIMEJIAJIRI ..Wewe umeajiriwa au umejiajiri.
Hebu tupe full na ya ukweli experience yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruhusiwa mkuu,tuweze kujifunza.Japo sijaulizwa mimi .. nikiruhusiwa naweza kujieleza ... NIMEJIAJIRI ..
Tafuta maarifa kabla ya kuanza mkuu .. kunachangamoto huko ila changamoto ndo kazi yenyewe.Sijawahi Fanya biashara natamani kuanza sasaa
Wewe kama mjasiriamali ingekuwa vizuri kama ungenipa maarifa muhimu kabisa nayotakiwa kuwa nayo kabla sijafanya maamuzi yoyote kwenye biasharaTafuta maarifa kabla ya kuanza mkuu .. kunachangamoto huko ila changamoto ndo kazi yenyewe.
1. Sijui uliko kuna fursa zipi ...Wewe kama mjasiriamali ingekuwa vizuri kama ungenipa maarifa muhimu kabisa nayotakiwa kuwa nayo kabla sijafanya maamuzi yoyote kwenye biashara
Asilimia kubwa jamii za Ki TZ zinafanana lengo langu Mimi nikupata uelewa in general sio mbaya ukanifafanulia hata kupitia fursa unazoziona eneo ulipo huko.1. Sijui uliko kuna fursa zipi ...
2. Sijui una ujuzi upi ...
3. Sijui una mtaji kiasi gani ...
Kuna kitu kinaitwa SWOT analysis ambacho kitakusaidia wewe kujua kama kweli unafaa kuwa mjasiriamali au la!
Ni kirahisi sana kuambia watu kina Lipa, utapata utajiri kisa tikiti tamu
Ok,Asilimia kubwa jamii za Ki TZ zinafanana lengo langu Mimi nikupata uelewa in general sio mbaya ukanifafanulia hata kupitia fursa unazoziona eneo ulipo huko.
Wewe ni bingwa wa kukatisha watu tamaa ndo shida yako.Ni kirahisi sana kuambia watu kina Lipa, utapata utajiri kisa tikiti tamu
Waulize wanaolima maamae
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni bingwa wa kukatisha watu tamaa ndo shida yako.
Tatizo hawa motivational [emoji344] hawasemi changamoto! WAo wanakwaambia tu kuhusu faida!Ni kirahisi sana kuambia watu kina Lipa, utapata utajiri kisa tikiti tamu
Waulize wanaolima maamae
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe madini hayo mkuu.Japo sijaulizwa mimi .. nikiruhusiwa naweza kujieleza ... NIMEJIAJIRI ..
Tatizo hawa motivational [emoji344] hawasemi changamoto! WAo wanakwaambia tu kuhusu faida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu.Nimeajiriwa na nimejiajiri ila kuajiriwa kulikoma mwaka jana september baada ya maradhi kunikubili kwa muda mrefu ambayo mpaka sasa bado napambana nayo. Kiukweli waajiri ni wanyanyasaji sana. Nilipata ajali nikidrive kutokea job kwenda home afu madhara yakawa ndani kwa ndani kwenye uti wa mgongo maeneo ya shingo afu madokta wakasema nipumzike kwa muda mrefu ila mwajiri alikuwa hata nikijaza fomu ya likizo ananuna badala ya kusaini. Kuajiriwa na private companies nako kuna changamoto nyingi sana.
Najuta kuajiriwa na muajiri huyo wakati biashara zangu zilikuwa zikienda hata kabla hajaniajiri.
Nilitaka kufata historia ya Mengi. Miaka kadhaa ambayo mzee huyu alikuwa anaendesha IPP na kadhalika pia alikuwa akitumikia ajira kama Director kwenye baadhi ya taasisi nyenginezo.
Bahati mbaya ajira kwangu ilinidhoofisha na kunijeruhi si kama yeye ilimneemesha na kumuimarisha.
Nahisi mengine ni privacy labda iwe person to person.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeap ubongo upo sawa kabisa. Mkanda wa gari na airbag zinasaidia sana. Kikubwa kilitokea wataalam wa afya huita whiplash injury. Na shingo iliathirika sana bila kujijua sehemu ya uti wa mgongo eneo la shingo iliathirika zaidi na kupelekea ubongo kukosa mawasiliano ya uhakika toka mwili ulio chini ya shingo. Hii hupelekea numbness kwa baadhi ya nyakati, loss of energy, na kuanguka wakati mwingine, pia kushindwa kuconcentrate. But napambana na maradhi kwa kasi sana na bila shaka yataisha mana dalili ni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app