Kujiajiri: Wazo sahihi, wakati sahihi, sehemu sahihi na uwepo wa rasilimali sahihi

Kujiajiri: Wazo sahihi, wakati sahihi, sehemu sahihi na uwepo wa rasilimali sahihi

Epuka perfection ni some of staff hold back many people nikiwemo mm seriously uitaji everything kuwa sahihi pia elewa tofauti kati ya innovation na invention pia speculation na business
 
Ok,
Kwenye ufugaji - wafugaji wengi wana changamoto ya malisho ... tengeneza biashara ya malisho kwa ajili ya mifugo kwa kuandaa mazingira ya kupunguza gharama na karaha za wakata majani...

Kwenye elimu: Masomo mengi yanafundishwa kwa English lakini vijana wengi hawajui lugha hiyo - wafundishe lugha hiyo kwa ubunifu ili waelewe waweze kuyamudu masomo mengine ..

Kwenye maji: Anza biashara ya kusambaza maji kwa waliokuzunguka.

Nishati: Tengeneza mazingira ya kusambaza nishati mbadala ya Tanesco

Chakula: Tengeneza mazingira ya kusindika vyakula ili vitumike kipindi cha uhaba.

Yako mengi ila utakaloliona linakufaa ndo unaanza kulitafutia maarifa yake ... yapo tu mkuu.
Sawa..
 
Yeap ubongo upo sawa kabisa. Mkanda wa gari na airbag zinasaidia sana. Kikubwa kilitokea wataalam wa afya huita whiplash injury. Na shingo iliathirika sana bila kujijua sehemu ya uti wa mgongo eneo la shingo iliathirika zaidi na kupelekea ubongo kukosa mawasiliano ya uhakika toka mwili ulio chini ya shingo. Hii hupelekea numbness kwa baadhi ya nyakati, loss of energy, na kuanguka wakati mwingine, pia kushindwa kuconcentrate. But napambana na maradhi kwa kasi sana na bila shaka yataisha mana dalili ni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana&Mungu akuponye maradhi yako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom