Sawa..Ok,
Kwenye ufugaji - wafugaji wengi wana changamoto ya malisho ... tengeneza biashara ya malisho kwa ajili ya mifugo kwa kuandaa mazingira ya kupunguza gharama na karaha za wakata majani...
Kwenye elimu: Masomo mengi yanafundishwa kwa English lakini vijana wengi hawajui lugha hiyo - wafundishe lugha hiyo kwa ubunifu ili waelewe waweze kuyamudu masomo mengine ..
Kwenye maji: Anza biashara ya kusambaza maji kwa waliokuzunguka.
Nishati: Tengeneza mazingira ya kusambaza nishati mbadala ya Tanesco
Chakula: Tengeneza mazingira ya kusindika vyakula ili vitumike kipindi cha uhaba.
Yako mengi ila utakaloliona linakufaa ndo unaanza kulitafutia maarifa yake ... yapo tu mkuu.
Pole sana&Mungu akuponye maradhi yako.Yeap ubongo upo sawa kabisa. Mkanda wa gari na airbag zinasaidia sana. Kikubwa kilitokea wataalam wa afya huita whiplash injury. Na shingo iliathirika sana bila kujijua sehemu ya uti wa mgongo eneo la shingo iliathirika zaidi na kupelekea ubongo kukosa mawasiliano ya uhakika toka mwili ulio chini ya shingo. Hii hupelekea numbness kwa baadhi ya nyakati, loss of energy, na kuanguka wakati mwingine, pia kushindwa kuconcentrate. But napambana na maradhi kwa kasi sana na bila shaka yataisha mana dalili ni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. AminaPole sana&Mungu akuponye maradhi yako.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk