Last_Joker
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 272
- 414
“Sitaki kuolewa kama tu ni desturi, nataka penzi lenye heshima.”
“Sihitaji sponsor, nina uwezo wangu.”
“Sitavumilia abuse kwa jina la ndoa.”
Ili kusiwe tatizo inabidi huyu mwanamke aandaliwe vyema ili aje kuwa mkombozi na sio mtumwa.Kujiamini kupitiliza nako ni tatizo
Na walinyanyaswa hasa, sababu zikiwa tamaduni, kukosekana kwa elimu n.k ila sasa washaamka ijapokuwa nao walioamka wameamkia pabaya wengine.Wanawake wa zaman walikua wananyanyaswa haswa kupigwa kwao Ili kua jambo la kawaida
Mwanaume hapaswi kunyenyekewa anapaswa kuheshimiwa Sasa watu wanataka na tuwaabudu kabisa hapana heshima utapewa ila sio kunyenyekewa umekua Mungu ww au kitu gan
Swala la jeur Kwa mwanamke ni yeye na tabia zake na makuzi yake huko kwao pia maswala ya kiuchumi yakiwa vizur kwake jeur lazma awe nayo
Mambo yashakuwa Vuta N'kuvute. hahahahaWaendelee tu kupambana,hii dunia ishakuwa ngumu sana
HakikaElimu na pesa ni muhimu sana kwa kila mtu jinsia yoyote , kinyume na hapo utakuwa mtumwa
Mwanamke ni kiumbe chenye ku practice upumbavu..matokeo yake ujifunza kwa hasara na maumivu makubwa sanaSiku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.”
Wanasema, “najua naweza/tunaweza.”
Wanajiamini, wanavaa wanavyotaka, wanaendesha magari yao, wanaamua nani wa kuwa naye na lini — lakini bado kuna watu wanawaangalia kwa jicho la kushangaa, wengine wakisema:
“Hawa wanawake wa siku hizi wamejaa kiburi.”
Ila swali la msingi ni: Hii ni attitude ya jeuri au ni ukombozi wa kweli wa fikra?
Zamani Mwanamke Alikuwa Kimya Sana...
Asiseme anataka nini.
Asionyeshe kuwa na malengo binafsi.
Asithubutu kusema "hapana" kwa mwanaume.
Aambiwe aolewe na mtu asiyempenda, anakubali.
Apigwe, adhalilishwe — lakini aambiwe "vumilia, ndoa ni uvumilivu."
Sasa kizazi kimeamka.
Mwanamke wa leo anasema:
Halafu Kelele Zinaanza…
Unasikia maneno ya mtaani:
“Huyo ni feminist wa Instagram.”
“Anajiona sana kwa sababu ana kazi.”
“Mwanamke wa kweli hatii kelele, anatulia.”
“Wanafanya hivyo kwa sababu wana hela kidogo tu.”
Yaani ukimya wa zamani ukigeuzwa kuwa sauti, unaitwa kiburi.
Hata kujiamini kwa mrembo kunakera watu waliozoea wanawake "waliotulia."
Lakini Kwanini Tuogope Mwanamke Aliyekuja Juu?
Huyu si yule wa zamani.
Ana degree, ana biashara, ana mtandao wake wa mafanikio.
Anajua anachotaka — kwenye kazi, kwenye ndoa, kwenye maisha.
Na hilo halifanyi awe mbaya au mkorofi.
Inamfanya awe mwanamke anayejielewa.
Na kwa wanaume wanaojielewa pia, hiyo ni baraka — si tishio.
Kujiamini ≠ Kiburi
Kiburi ni kukandamiza wengine.
Lakini kujiamini ni kuwa huru ndani ya nafsi yako bila kumuumiza yeyote.
Wanawake wengi wa leo hawapigi kelele kwa makusudi — wanapaza sauti zao baada ya miaka mingi ya kunyamazishwa.
Wanadai nafasi si kwa kibri, bali kwa haki.
Tuambie Wewe:
Unadhani wanawake wa leo wamevuka mipaka, au wanadai haki zao zilizodhulumiwa miaka mingi?
Je, society iko tayari kumkubali mwanamke aliyejaa confidence na maamuzi?
Dondosha maoni yako — tusikie kutoka kwa mabinti na mabro kiroho safi!
Najivunia kuwa mwanamke najivunia kuwa bibiharusiSiku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.”

Wacha weeee, hii bibiharusi kwamaana tayari mpunga ushaliwa au tusubir kadi za mualikoNajivunia kuwa mwanamke najivunia kuwa bibiharusi
Namtafuta baba harusi'🫣Wacha weeee, hii bibiharusi kwamaana tayari mpunga ushaliwa au tusubir kadi za mualiko
Nipe direction nije kutoa mahari chap 😀 😀 😀 😀Namtafuta baba harusi'🫣
😂😂😂😂😂 Atimae babaharus kapatkanaNipe direction nije kutoa mahari chap 😀 😀 😀 😀
Yajayo neema tupu😂😂😂😂😂 Atimae babaharus kapatkana
Sawa sawaYajayo neema tupu