Kujiamini kwa Mwanamke wa Leo: Ni Kiburi au Ni Hatua ya Ukombozi?

Kujiamini kwa Mwanamke wa Leo: Ni Kiburi au Ni Hatua ya Ukombozi?

Ngoja waje wanaume wasiojiamini waanze kukuita feminist!
 
Tatizo mwanadamu wa siku hizi wabishi sana

Hivi hawajui kuwa ndoa ni hila iliyotumiwa na wenye Ufahamu kufunga mwanaume pingu za uwajibikaji.!?

Ngoja Kuna kilio kikubwa cha chini kwa chini kwa majanamke yaliyozeeka yakatekelezwa na watoto wao waliowasomesha kwa nguvu ya chupi na hawapo
 
Back
Top Bottom