Tatizo mwanadamu wa siku hizi wabishi sana
Hivi hawajui kuwa ndoa ni hila iliyotumiwa na wenye Ufahamu kufunga mwanaume pingu za uwajibikaji.!?
Ngoja Kuna kilio kikubwa cha chini kwa chini kwa majanamke yaliyozeeka yakatekelezwa na watoto wao waliowasomesha kwa nguvu ya chupi na hawapo