wakiwa peke yao hawatauana, watapeana vyeo kila mmoja atulie. Pendekeza wapinzani wafanye nini, siyo kususia. Sema tunahitaji civil war!Vizuri,tuwaachie wenyewe, ndani yao wauwane,wapotezane na wapige kura.
Ni kweli mengi yanatokea wakati wa uchaguzi. Ila tuwe na matumaini kuwa wingi wetu unaweza kufanya wizi/udhalimu wao usifanye kazi. TWENDE KUJIANDIKISHA.CCM imejipanga kukalia viti Kwa hila,hata kumwaga damu na kupoteza watu kama tulivyo shuhudia Mwaka huu.
Ni ujinga wa Hali ya juu kwenda kupanga foleni,ujiandikishe,upige kura wakati CCM wameshaandaa nani atashinda wakisaidiwa na vyombo vya Dola.
Vizuri,tuwaachie wenyewe, ndani yao wauwane,wapotezane na wapige kura.
Usipoteze muda kubariki uchaguzi ambao,refa ni Mchezaji.
Niliwahi enda uchaguzi wa Mwisho wa Serikali za mitaa,mtaani kwetu,walijua diwani aliyekuwepo na Mwenyekiti, hatuwataki, wakatangaza kuwa karatasi za kupigia kura zimeisha, hatukupiga mpaka Mwisho! Kwanini nikapoteze muda Tena?Ni kweli mengi yanatokea wakati wa uchaguzi. Ila tuwe na matumaini kuwa wingi wetu unaweza kufanya wizi/udhalimu wao usifanye kazi. TWENDE KUJIANDIKISHA.
Wewe hufai katika maendeleo ya demokrasia hapa nchini.. Hii mada ni ya hovyo kuliko mada zote zilizoanzishwa mwaka huu.. Mods Maxence Melo Naomba mada hii ifutwe.. Hatupo hapa JF kuhamasisha watu wasijiandikishe kupiga kura..CCM imejipanga kukalia viti Kwa hila, hata kumwaga damu na kupoteza watu kama tulivyo shuhudia Mwaka huu.
Ni ujinga wa Hali ya juu kwenda kupanga foleni, ujiandikishe, upige kura wakati CCM wameshaandaa nani atashinda wakisaidiwa na vyombo vya Dola.
Vizuri, tuwaachie wenyewe, ndani yao wauwane, wapotezane na wapige kura.
Usipoteze muda kubariki uchaguzi ambao, refa ni Mchezaji.
Thanks a million..Ni kweli mengi yanatokea wakati wa uchaguzi. Ila tuwe na matumaini kuwa wingi wetu unaweza kufanya wizi/udhalimu wao usifanye kazi. TWENDE KUJIANDIKISHA.
Kipigo cha mbwa koko ni mfumo wa maisha wanaotutawala nao kila siku. Bila shaka hapo ulipo mkoa mzima wanatawala CCM.Kulasimisha*Kurasimisha
Endelea kuhamasisha wenzako wasiajindikishe lakini kumbuka siku ya kupiga kura wanapiga wale walijiandikisha tu na hapo ndio CCM itatoa kipigo cha mbwa koko