Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Sky Eclat wa chadema nime kumiss uko wapi? sema neno au na wewe ni miongoni mwa covid -19
 
Hang on, wakihamia ccm watabakiaje bungeni kwa viti maalum? si ccm wameshakamilisha viti vyao maalum? Pia ikiwa watahamia ccm si ina maana bunge halitakuwa na wabunge wa viti maalum kutoka kambi ya upinzani ya chadema? Hili suali naona linazidi kutatanisha na huenda likaenda hadi mahakamani, tusubirini tu!
 
Wanaoniuma zaidi ni watatu tu
1:Ester Matiku
2: Ester Bulaya
3:Halima Mdee
Hawa watatu wananiuma kwelikweli,yaani utafikiri walikuwa wake zangu halafu wamenisaliti mume wao,Lakini maisha ni popote nawatakia Kila lenye heri.
 
Da deki.
Ukiona wanakaribishwa ccm ndiyo kusema ubunge wao umeyeyuka rasmi na wamekata tamaa.
Nendeni ccm mkapewe udc na ukatibu tawala ambapo jamaa ana uwezo wa kuwafukuza kazi aliyowapa hata ya usiku wa manane

Ajabu mdee na ujanja wake woote ameingia king
 
Wanaoniuma zaidi ni watatu tu
1:Ester Matiku
2: Ester Bulaya
3:Halima Mdee
Hawa watatu wananiuma kwelikweli,yaani utafikiri walikuwa wake zangu halafu wamenisaliti mume wao,Lakini maisha ni popote nawatakia Kila lenye heri.

Sasa wamepata waume wenye mapenzi ya dhati wanapata raha zote ZA dunia,
 
Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania

Ay ay ay! unajua kuwa hawa si wabunge wa kuchaguliwa na wananchi? ni wabunge wanaochaguliwa na vyama vyao. Wakihamia chama chengine ninavyoelewa ni kuwa hawawezi kuwa wabunge wa viti maalum kutoka chadema, itabidi huko wanakohamia wawape viti vyao, na kwa ninavyoamini ccm viti vyao vyote vimeshachukuliwa. Na kama wakuhamia kwengine ina maana bunge litarudi kule kule kuwa halikukamilika kwa vile hakutakuwepo na wabunge wa viti maalum kutoka chadema kama katiba inavyoagiza.

I stand corrected.
 
Kwa msingi huu ubunge hawana tena ama inakuwaje?
 
Wanaoniuma zaidi ni watatu tu
1:Ester Matiku
2: Ester Bulaya
3:Halima Mdee
Hawa watatu wananiuma kwelikweli,yaani utafikiri walikuwa wake zangu halafu wamenisaliti mume wao,Lakini maisha ni popote nawatakia Kila lenye heri.
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu "
 
Wanaoniuma zaidi ni watatu tu
1:Ester Matiku
2: Ester Bulaya
3:Halima Mdee
Hawa watatu wananiuma kwelikweli,yaani utafikiri walikuwa wake zangu halafu wamenisaliti mume wao,Lakini maisha ni popote nawatakia Kila lenye heri.
Inakuuma wwe wao mgodi umetema,thus waligoma kuhojiwa
 
Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania
Wahamie tu ccm, sasa sijui kama bado watakua iligible kupata huo ubunge wa viti maalumu
 
Una uhakika mkuu? So, kila taarifa inyozagaa huwa ni ya ukweli?
 
Wangesikilizwa WAP sasa na wao walikaidi kuhudhuria kikao cha mahojiano.
Acheni kuwatetea wasaliti bana.
 
Hahahaaaa....... Kesho ndio mtajua hamjui!
Vyovyote itakavyokuwa, kwa hizi sarakasi zenu na kina COVID-19 rafiki zetu wazungu wanawaangalia kwa dharaaaau.

Watakapokata miamala ya misaada na mikopo, wakaziba mifumo yenu ya exports/imports na kukata supplies za spea za bombadia ndiposa anayejua atajulikana na asiyejua atajulikana!
 
Wazungu na pua zao ndefu hawana jeuri hiyo!
 
Ulitaka wakasikiliziwe mavyumbani mwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…