chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Baada ya kuona hayo bashiru katumia huo mwanya kuwaalika CcmHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana