Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Halima na baadhi yao hata kubali kujiunga Ccm. Bali wata rudi kuomba radhi..
Waache warudi nyumbani ccm , waache hiyo saccos ya wapiga dili, angalia walivyouzwa na viongozi wao mchana kweupe.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Madelila wa Tanzania wamechemka vibaya sana .
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Wakihamia CCM viti Maalumu si vinayeyuka? Oh sorry Awamu ya 5 hakuna kufuata sheria nimekumbuka hata Mwambe alihama chadema na kujiunga ccm lakini aliendelea kuwa mbunge kwahiyo hata covid19 wakihamia CCM watendelea kuwa wabunge wa viti maalumu kutoka CHADEMA.
 
Wewe subiri kesho usikie muziki wa Halima James Mdee!
Halima anajitambua sana. Hata na yeye anashangaa hilo jini lilomtia nksi. Anajua ametoka mbali na chadema, amekuwa mbunge muda mrefu na juu ya hapo mwenyekiti BAWACHA. Sasa atamlalamikia nani kama sio majini mnaoleta uchochezi.
Mimi ningemwomba aombe msamaha na heshima yake itapaa.
Kina Ester ni watu makini very pottential waombe msamaha tujenge nchi.
Wanaobomoa upinzani na wanaosjabikoa ni waovu yawapasa kutubi
 
Wataomba msamaha kama walikosea na huo ndio ustaarabu
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Sioni tatizo, mradi watu kama 'Husna' wa Chato si mmoja wa hao waliorubuniwa.

Kuna watu makini sana huko upinzani, tatizo pekee ni kutojua njia za kuwatambua.
CHADEMA na wenzao watakapopata njia za kuwatambua wanachama wenye 'commitment' na chama, hapo ndipo chama kitakapoimarika na kuwa na ukomavu.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Yuda Alijinyonga kwa ajili ya USALITI
 
Duh! Bado mnao tu?! Wengine tukajuwa baada ya kutupwa chamani basi mtaachana nawo?!
Hii issue hata mseme nini imewauma sana sana, poleni, kumbukeni wahenga walivyosema tu, "Politics is a dirty game, and if you can't play the game, you won't loose"...
 
kila sehemu wamebanwa, hapo wako kimya wanafanya mipango jinsi ya kujinasua
Wajinasue na nini wakati haki zote za kibunge wanazo.Sasa hivi wako kwenye payroll ya bunge na mwezi huu walamba mshahara wa siku 10 za mwezi November, pesa ya kujikimu baada ya kuapishwa wamepewa, mkopo wa magari tayari wamepewa, bima ya afya wanayo tayari.Sasa waitishe press conference ya nini.Nadhani akiapishwa polepole na Riziki Lulida wote wataanza semina kama walivyofanyiwa wabunge wengine. KWA UJUMLA ISSUE YAO IMEKWISHA NI CHADEMA NDIYO WANAO MPIRA WAKIPIGA FYONGO NI JUU YAO.HALIMAA
 
Duh! Bado mnao tu?! Wengine tukajuwa baada ya kutupwa chamani basi mtaachana nawo?!
Hii issue hata mseme nini imewauma sana sana, poleni, kumbukeni wahenga walivyosema tu, "Politics is a dirty game, and if you can't play the game, you won't loose"...
Mkuu usiuwe nzi kwa nyundo. Wote ni watanzania wenzetu hata mlevi wa konyagi ni Mtanzania mwenzetu tumvumilie tu. Alikuwepo Sara Kuku kutoka Wingereza na kiherehere chake na mbwembwe zake lakini wapi, sikio la kufa .... ......
 
Wangesikilizwa WAP sasa na wao walikaidi kuhudhuria kikao cha mahojiano.
Acheni kuwatetea wasaliti bana.
Thubutu, kwa moto ule uliowashwa pale ufipani na viongozi wakubwa hao wamama wawatu wangefanyiwa kitu mbaya saanaa. Maana uwanja wote ulijaaa waaandamanaji wafuasi wa chama chenuu huku wakishikilia mabango ya kuwatukanaaa. Hata kama nimtuyeyote asingeweza kujitupa kwenye ule moto uliowashwa na viongozi wakuu wa chama. Kwahekima kubwa yawamama wale waliandika ujumbe kuomba wahudhurie kikao kwa siku walio taja na sababu wakatoa, lakini kulingana na jazba za viongozi hawakuwasikia ombilao. Ingekua hawakuandika ujumbe wowote, ndo tungesema walikaidiii. Walitambua kutatua migogoro wakati wote mnahasira mwishowe nikugombana na kusababisha madhara makubwaaa.
 
Back
Top Bottom