jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Halisikii kifo...Mbavu zangu zauma, hahahaha...na kile kiherehere kilimfanya bi KUKU aondoke kinyemela tu, tulimsoma twitter, hata kabla ya uchunguzi wa kina Bi KUKU akapayuka kama micharuko yetu, wanaume tukasema huyu bibie vipi?! Ila walio na majukumu wakauliza kulikoni? Basi yakafanyika maaumizi magumu tu arudi kwao kupangiwa majukumu mengine...Mkuu usiuwe nzi kwa nyundo. Wote ni watanzania wenzetu hata mlevi wa konyagi ni Mtanzania mwenzetu tumvumilie tu. Alikuwepo Sara Kuku kutoka Wingereza na kiherehere chake na mbwembwe zake lakini wapi, sikio la kufa .... ......
Ni shida kweli, kwa kweli ukinzani tunawavumilia kwa mengi tu, sijuwi mzee M7 angewafanya nini walahi...🤔