Kujichanganya na Wananzengo muhimu sana kwa mtumishi wa umma

Ewaaaa hii ni style yangu pendwa tangu zamani sana.

Kula Kwa mama lishe wa mtaani mara moja moja.

Penda kupiga stori na masela tena wale wavuta bangi wazuri sana.

Acha uchoyo ukiazimwa kitu kama unaafford toa.

Isiyokuwa kama upo high level,yaani
C.E.O mkubwa.

au kiongozi mkubwa,usijichanganye Sana mtaani ni mbaya
 
Yaa na utapata data anayekutombea mkeo wanazengo watakwambia au siyo
 
Ewaaaa hii ni style yangu pendwa tangu zamani sana.

Kula Kwa mama lishe wa mtaani mara moja moja.

Penda kupiga stori na masela tena wale wavuta bangi wazuri sana.

Acha uchoyo ukiazimwa kitu kama unaafford toa.

Isiyokuwa kama upo high level,yaani
C.E.O mkubwa.

au kiongozi mkubwa,usijichanganye Sana mtaani ni mbaya
Ubaya wa CEO au Katibu Mkuu wa Wizara kujichanganya ni upi kiongozi?
 
Kama unakabiashara hapo sawa.Lakini kujichanganya na low minded(wananzengo) people ni ujinga mtupu.Unless huna kazi za kufanya unatafuta umbea wa mtaani.

Mazoea na waswahili mwiko,heshima itawale.Mswahili mpe salama basi!!!!

" MBWA AKIKUZOEA SANA ATAKUFATA MPAKA MSIKITINI"
 
Tatizo ukigonga mtoto wa jirani bahati mbaya akafariki mbwa ndo wanaweza kukutetea au kukuua na ukishakufa mbwa ndo wachimba kaburi.
 
Toa sababu zenye mashiko usiishie kusema sio sawa.

Sioni kipi utapata kuwa na mazoea na waswahili zaidi ya UMBEA WA MTAANI na wao kukufubaza akili na wewe ukaanza kuishi maisha yao ya hovyohovyo ili ujibrend nao.
Mimi binafsi nikiwa mtaani huwa sipendi kuchangia mjadala wowote, sana sana huwa napenda kusikiliza maoni yao kwenye issues mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Katika kuwasikiliza huwa najifunza mambo mengi sana.
Kwa hiyo kujichanganya na jamii inaweza kuwa ni sehemu ya darasa la kujifunza watu wanaokuzunguka wana upeo kiasi gani.
 
Mimi naamini kujifunza najifunza kutoka kwa walionizidi. Layman sio sehemu sahihi ya kujifunza na nauhakika unaenda huku kwasababu hujajizoesha huo muda wako wa ziada kufanya vitu productive.
 
Maisha sio lazima ujumuike na mtu aliyeenda shule. Huyo layman unayemdharau ipo siku anaweza kukukimbiza hospital ukiwa unaumwa.
 
Back
Top Bottom