Kujichanganya na Wananzengo muhimu sana kwa mtumishi wa umma

Kujichanganya na Wananzengo muhimu sana kwa mtumishi wa umma

Maisha sio lazima ujumuike na mtu aliyeenda shule. Huyo layman unayemdharau ipo siku anaweza kukukimbiza hospital ukiwa unaumwa.

Endelea kutengeneza excuse za wewe kuendeleza tabia ya kujichanfanya na wajinga wajinga, soo utakuwa kama wao.

ENDELEA KUPOTEZA MUDA NA KUJIZIKA.
 
Bado sio sababu ya msingi maana hilo ni jambo ambalo lina asilimia chache sana kutokea. Leta sababu zenye mantiki.

Binadamu kazungukwa na changamoto zinazohitaji uhusiano mwema na majirani. Unless unaishi eneo la watu mnaofanana

Isije ikawa na wewe ni mbwa, unaishi na mbwa halafu unajifanya hutaki uhusiano na mbwa. Uhusiane na nani na umezungukwa na mbwa wenzako?

Njia nzuri ya kutoshirikiana na majirani mbwa kama unavyowaita ni wasiwe majirani zako. Ishi uzunguni, beach, karibu na ikulu n.k
 
Kwa upande wangu naona jaribu kushiriki kwenye matukuio muhimu ya kijamii,hapo ushirikiano wako utaonekana na jamii itakukubali sana tu

Swala la kukaa vijiweni na wadau itategemeana na ukaribu wako na wadau,na aina ya wadau ambao mnaenda sawa
 
Binadamu kazungukwa na changamoto zinazohitaji uhusiano mwema na majirani. Unless unaishi eneo la watu mnaofanana, ila kama umezungukwa na hao unaowaita mbwa changamoto zipo na si kwa asilimia chache.

Unaweza usigonge mtoto wa jirani ila ukavamiwa na vibaka, mwanao/ndugu akapata tatizo ukiwa haupo, ukafiwa n.k n.k

Njia nzuri ya kutoshirikiana na majirani mbwa kama unavyowaita ni wasiwe majirani zako. Ishi uzunguni, beach, karibu na ikulu n.k

Sio wewe ni mbwa, unaishi na mbwa halafu unajifanya hutaki uhusiano na mbwa. Uhusiane na nani na umezungukwa na mbwa wenzako?
Salimia watu,shiriki misiba,, harusi.

Ila mambo ya kukaa vijiweni ni ukosefu wa kazi za kufanya.

Weka akiba acha kuwaza kwa akili mgando.Akiba yako ndio itakuokoa acha kuishi kizinjathropus unategemea watu watakushika mkono. Siku ikifikahutaamini.
 
Salimia watu,shiriki misiba,, harusi.

Ila mambo ya kukaa vijiweni ni ukosefu wa kazi za kufanya.
Sasa kumbe unaelewa ushirikiano ni muhimu, kwanini uite majirani zako mbwa?

Halafu kama majirani zako ni mbwa, unashiriki misiba/harusi ya mbwa na wewe huwezi acha kuwa mbwa shirikiana nao tu hakuna namna maana mnafanana ndo maana mnaishi eneo moja.

Huwezi ishi maeneo yaliyojaa mbwa wewe usiwe mbwa unless unaishi uzunguni, ikulu, beach n.k.

Mfano wa Mbwa uliotoa ulikuwa mbaya sana, wa dharau kwa binadamu wengine na usio wa kimaadili linapokuja suala la binadamu wenzako.
 
Huyu kijana hajitambui.
 
Back
Top Bottom