Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Yaa na utapata data anayekutombea mkeo wanazengo watakwambia au siyoEwaaaa hii ni style yangu pendwa tangu zamani sana.
Kula Kwa mama lishe wa mtaani mara moja moja.
Penda kupiga stori na masela tena wale wavuta bangi wazuri sana.
Acha uchoyo ukiazimwa kitu kama unaafford toa.
Isiyokuwa kama upo high level,yaani
C.E.O mkubwa.
au kiongozi mkubwa,usijichanganye Sana mtaani ni mbaya
Huwa nawasisitizia sana wadogo zangu wanaotumikia umma. Wasijitenge sana na jamii.Sio unatoka kazini unaingia ndani na kujifungia.
Unashinda ndani siku za wikiend unaangalia tv masaa 24 siku za weekend.
Wanazengo ni muhimu kwa maisha ya kawaida uraiani maaana wanaweza kuwa msaada kwa suala lolote.
Ubaya wa CEO au Katibu Mkuu wa Wizara kujichanganya ni upi kiongozi?Ewaaaa hii ni style yangu pendwa tangu zamani sana.
Kula Kwa mama lishe wa mtaani mara moja moja.
Penda kupiga stori na masela tena wale wavuta bangi wazuri sana.
Acha uchoyo ukiazimwa kitu kama unaafford toa.
Isiyokuwa kama upo high level,yaani
C.E.O mkubwa.
au kiongozi mkubwa,usijichanganye Sana mtaani ni mbaya
Ila vipaumbele vya mwafrika vinafikirisha sana.Yaa na utapata data anayekutombea mkeo wanazengo watakwambia au siyo
Hihi sio sawqKama unakabiashara hapo sawa.Lakini kujichanganya na low minded(wananzengo) people ni ujinga mtupu.Unless huna kazi za kufanya unatafuta umbea wa mtaani.
Mazoea na waswahili mwiko,heshima itawale.Mswahili mpe salama basi!!!!
" MBWA AKIKUZOEA SANA ATAKUFATA MPAKA MSIKITINI"
H
Hihi sio sawq
Tatizo ukigonga mtoto wa jirani bahati mbaya akafariki mbwa ndo wanaweza kukutetea au kukuua na ukishakufa mbwa ndo wachimba kaburi.Kama unakabiashara hapo sawa.Lakini kujichanganya na low minded(wananzengo) people ni ujinga mtupu.Unless huna kazi za kufanya unatafuta umbea wa mtaani.
Mazoea na waswahili mwiko,heshima itawale.Mswahili mpe salama basi!!!!
" MBWA AKIKUZOEA SANA ATAKUFATA MPAKA MSIKITINI"
😀😁😃😂😆😄Wewe Jamaa Ni Lizard 🦎Yaa na utapata data anayekutombea mkeo wanazengo watakwambia au siyo
Tatizo ukigonga mtoto wa jirani bahati mbaya akafariki mbwa ndo wanaweza kukutetea au kukuua na ukishakufa mbwa ndo wachimba kaburi.
hapa nawapongeza Walimu. Walimu tunajumuika nao sana kitaa..wengne ni wazee wakujifungia.Sio unatoka kazini unaingia ndani na kujifungia.
Unashinda ndani siku za wikiend unaangalia tv masaa 24 siku za weekend.
Wanazengo ni muhimu kwa maisha ya kawaida uraiani maaana wanaweza kuwa msaada kwa suala lolote.
hapa nawapongeza Walimu. Walimu tunajumuika nao sana kitaa..wengne ni wazee wakujifungia.
Mimi binafsi nikiwa mtaani huwa sipendi kuchangia mjadala wowote, sana sana huwa napenda kusikiliza maoni yao kwenye issues mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa.Toa sababu zenye mashiko usiishie kusema sio sawa.
Sioni kipi utapata kuwa na mazoea na waswahili zaidi ya UMBEA WA MTAANI na wao kukufubaza akili na wewe ukaanza kuishi maisha yao ya hovyohovyo ili ujibrend nao.
Mimi binafsi nikiwa mtaani huwa sipendi kuchangia mjadala wowote, sana sana huwa napenda kusikiliza maoni yao kwenye issues mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Katika kuwasikiliza huwa najifunza mambo mengi sana.
Kwa hiyo kujichanganya na jamii inaweza kuwa ni sehemu ya darasa la kujifunza watu wanaokuzunguka wana upeo kiasi gani.
Maisha sio lazima ujumuike na mtu aliyeenda shule. Huyo layman unayemdharau ipo siku anaweza kukukimbiza hospital ukiwa unaumwa.Mimi naamini kujifunza najifunza kutoka kwa walionizidi. Layman sio sehemu sahihi ya kujifunza na nauhakika unaenda huku kwasababu hujajizoesha huo muda wako wa ziada kufanya vitu productive.
Walimu tuko vizuri sana.hapa nawapongeza Walimu. Walimu tunajumuika nao sana kitaa..wengne ni wazee wakujifungia.