Mbona mitandaoni kuna ujinga zaidi ya huo wa mtaani lakini unashiriki mijadala yakeMmewasaidia vipi kuinua maisha yao zaidi ya kuwakopa na kuwaliwaza kwa DRAFT,MABISHANO YA MIPIRA NA KUBETI.
📌VIJIWENI HUKO NI UMBEA NA KUSENGENYANA HAKUNA VITU VYA MAANA MNADISCUSS.
Kukuzidi unakotafsiri kupo very limitedMimi naamini kujifunza najifunza kutoka kwa walionizidi. Layman sio sehemu sahihi ya kujifunza na nauhakika unaenda huku kwasababu hujajizoesha huo muda wako wa ziada kufanya vitu productive.
Maisha sio lazima ujumuike na mtu aliyeenda shule. Huyo layman unayemdharau ipo siku anaweza kukukimbiza hospital ukiwa unaumwa.
Bado sio sababu ya msingi maana hilo ni jambo ambalo lina asilimia chache sana kutokea. Leta sababu zenye mantiki.
Mmewasaidia vipi kuinua maisha yao zaidi ya kuwakopa na kuwaliwaza kwa DRAFT,MABISHANO YA MIPIRA NA KUBETI.
MO AU BAKRESSA HAWEZI KUKAA NA MAFAKIRI.Kukuzidi unakotafsiri kupo very limited
Salimia watu,shiriki misiba,, harusi.Binadamu kazungukwa na changamoto zinazohitaji uhusiano mwema na majirani. Unless unaishi eneo la watu mnaofanana, ila kama umezungukwa na hao unaowaita mbwa changamoto zipo na si kwa asilimia chache.
Unaweza usigonge mtoto wa jirani ila ukavamiwa na vibaka, mwanao/ndugu akapata tatizo ukiwa haupo, ukafiwa n.k n.k
Njia nzuri ya kutoshirikiana na majirani mbwa kama unavyowaita ni wasiwe majirani zako. Ishi uzunguni, beach, karibu na ikulu n.k
Sio wewe ni mbwa, unaishi na mbwa halafu unajifanya hutaki uhusiano na mbwa. Uhusiane na nani na umezungukwa na mbwa wenzako?
Sasa kumbe unaelewa ushirikiano ni muhimu, kwanini uite majirani zako mbwa?Salimia watu,shiriki misiba,, harusi.
Ila mambo ya kukaa vijiweni ni ukosefu wa kazi za kufanya.
Nilidhani una akili. Kumbe ni mpuuziEndelea kutengeneza excuse za wewe kuendeleza tabia ya kujichanfanya na wajinga wajinga, soo utakuwa kama wao.
ENDELEA KUPOTEZA MUDA NA KUJIZIKA.
Huyu kijana hajitambui.Sasa kumbe unaelewa ushirikiano ni muhimu, kwanini uite majirani zako mbwa?
Halafu kama majirani zako ni mbwa, unashiriki misiba/harusi ya mbwa na wewe huwezi acha kuwa mbwa shirikiana nao tu hakuna namna maana mnafanana ndo maana mnaishi eneo moja.
Huwezi ishi maeneo yaliyojaa mbwa wewe usiwe mbwa unless unaishi uzunguni, ikulu, beach n.k.
Mfano wa Mbwa uliotoa ulikuwa mbaya sana, wa dharau kwa binadamu wengine na usio wa kimaadili linapokuja suala la binadamu wenzako.
Dharau si jambo zuri mkuu.Huyu kijana hajitambui.
📌Tafuta hela,maskini wewe!Nilidhani una akili. Kumbe ni mpuuzi
🖕📌Tafuta hela,maskini wewe!